Polisi wampiga Risasi kijana na kumuua kituoni Arusha

kifupi kirefu

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
539
3,507
Kwa mujibu wa M-blog kichana mmoja huko Arusha amepigwa Risas mikononi mwa polisi mbele ya kaka yake siku ya alhamis na mwili wake kupelekwa hospital ya Mount Meru.

Wakati mahojiano yanafanyika na wazazi, ndugu na jamaa pamoja viongozi wa ENEO anapoishi mkoani Arusha wote wamekiri kwamba kijana huyo Hana tabia mbaya kwenye jamii na hata angekuwa na tabia mbaya awakutegemea apatwe na mauti kwa sababu alikamatwa nyumban na alifungwa mikono na kupelekwa kituoni.

Kaimu kamanda wa polisi Arusha alipoulizwa ameeleza kwa kujiamini kuwa kijana huyo ni mualifu na kwamba alipigwa risas wakati anamnyang'anya Askari bunduki kituoni. Anadai kwamba kijana huyo amekuwa akituhumiwa kwa makosa mbalimbali.

Hii taarifa ina pande mbili moja ikidai marehemu ni mualifu na nyingine ikidai marehemu ni mtu mwema kwenye jamii.Je , Kati ya RPC na viongozi wa Kijiji pamoja na wanakijiji nani anajua tabia za raia? Je, Kama kweli anatuhumiwa kwa makosa flani anatakiwa kuuwawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sahihi 100%. Inafikia hatua mtu unatafutiwa makosa kwa lazima na kushurutishwa bila hatia yoyote. Na kama utauliza kati ya kila RAIA 10, basi 9 kati yao watakulalamikia kuhusu police unyanyasaji wao wanaofanya. Sidhani kama kuna mtu atawasifia.
Mtukufu kawambia police yupo pamoja nao Kwa lolote wafanyalo kuhusu kushoot majambazi, Kwaiyo wayafanyao yana baraka zote
 
Kwa mujibu wa M-blog kichana mmoja huko Arusha amepigwa Risas mikononi mwa polisi mbele ya kaka yake siku ya alhamis na mwili wake kupelekwa hospital ya Mount Meru.

Wakati mahojiano yanafanyika na wazazi, ndugu na jamaa pamoja viongozi wa ENEO anapoishi mkoani Arusha wote wamekiri kwamba kijana huyo Hana tabia mbaya kwenye jamii na hata angekuwa na tabia mbaya awakutegemea apatwe na mauti kwa sababu alikamatwa nyumban na alifungwa mikono na kupelekwa kituoni.

Kaimu kamanda wa polisi Arusha alipoulizwa ameeleza kwa kujiamini kuwa kijana huyo ni mualifu na kwamba alipigwa risas wakati anamnyang'anya Askari bunduki kituoni. Anadai kwamba kijana huyo amekuwa akituhumiwa kwa makosa mbalimbali.

Hii taarifa ina pande mbili moja ikidai marehemu ni mualifu na nyingine ikidai marehemu ni mtu mwema kwenye jamii.Je , Kati ya RPC na viongozi wa Kijiji pamoja na wanakijiji nani anajua tabia za raia? Je, Kama kweli anatuhumiwa kwa makosa flani anatakiwa kuuwawa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Polisi wamepewa ruhusa ya kuua na Jiwe
 
Back
Top Bottom