Polisi wamnyima PF3 mwalimu kutokana na kipigo walichompatia, Biharamulo

Msigazi Mkulu

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
4,110
3,269
Ni mwendelezo wa tukio nililoliweka hapa jana linalohusu askar polisi wa kiume kumwangushia kipigo cha haja mwalimu jinsia ya kike. Mwalimu mpaka muda huu anasota bila kupata matibabu kutokana na kunyimwa PF3. Wakubwa wa wilaya inaonekana wanataka kulizima hili suala bila wahusika kuchukuliwa hatua stahiki na kumnyima mwalimu fidia ya kudhalilishwa na kuumizwa na hao askar.

https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/18091894
 
Back
Top Bottom