Polisi wamkamata waziri bafuni

Inavyoonyesha ,CCM na serikali yake inajifanya haikumbuki ,kuwa kule Kenya alipata kuwepo Daniel Moi na KANU yake akiwatesa washindani na wakosoaji wake kinyama,lakini sasa kakaa pembeni hana madaraka.
 
Chadema banaa ina maana walikosa kabisa mtu wa kumsimamisha kigoma mpaka wakamsimamisha huyu mzee kwenye nafasi ya ubunge??
 
“Sitaki kuamini kama kuhama CCM kwenda CHADEMA ndio kiini. Hapa kuna jambo ambalo polisi naona inataka kujidhalilisha kuonyesha taswira mbaya mbele ya jamii,” alisema.
offcourse it is a part of it, rudi leo CCM uone kama kesi yote hii haijaisha, mfano mzuri muuulize dr.masumbuko lamwai, Dr.Nelson aliyegombea ubunge huko Kibaha, waulize wafanyabiashara kibao ambao walifungiwa biashara zao sababu wana support upinzani. hiyo ndiyo moja ya gharama za kuwa mpinzani na ndio maana wasomi wengi njaa pamoja na kujua ukweli kuwa CCM haifai lakini wanaingia huko ni kwa ajili ya kupata mkate wao wa kila siku na kuamua kuisaliti nchi.
 
Fresh tu mbona kuna raia wa kawaida wanakamatwa ktk situation kama hizo lakini hamkemei? Au sheria inasema wenye wadhifa na raia wa kawaida watritiwe tofauti?
 
Heading ya thread yako ni kama heading za magazeti ya udaku, kwa maoni yangu unadhalilisha JF
 
Ndiyo tatizo la ukosefu wa elimu katika jeshi la Polisi Tanzania. Siku Chama cha upinzani kitakaposhika madaraka, jambo la kwanza ni kufuta kabisa jeshi hili na kuanza kuwatathmini tena, mmoja mmoja.
Hatuwezi kuendelea na wasimamia sheria wajinga.
 
nilitaka kushangaa eti wanamfanyia 'mwenzetu' haya mambo, kumbe ni mwenzetu sasa
 
Inaonekana polisi wali "overreact" na inawezekana kabisa walitumiwa lakini kwa maelezo ya huyo afisa wa polisi inaonekana walijaribu kumpa heshima yake lakini mzee mzima aliwadharau na kuwapuuza. Dawa ya deni ni kulipa tu.
 
Back
Top Bottom