Polisi wamkamata mbunge wa CUF na pia wawapiga risasi watu watatu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wamkamata mbunge wa CUF na pia wawapiga risasi watu watatu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Landala, May 29, 2011.

 1. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #1
  May 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Ule mtindo wa polisi wa kuwakamata wabunge na kuwapiga raia umeendelea huko wilayani Urambo mkoani Tabora. Polisi wanadaiwa kuwapiga risasi raia 3, mmoja kajeruhiwa mgongoni, mwingine mkononi na watatu mguuni.

  Pia polisi wamemkamata mbunge wa viti maalamu kupitia chama cha CUF mheshimiwa Magdalena Sakaya. Polisi wamesema wamemkamata mbunge huyo kwa kufanya mkutano bila kibali.

  Source. Wapo Radio kipindi cha pata pata leo asubuhi.

  Ndugu watanzania wenzangu, hivi hii tabia ya polisi kupiga risasi raia wasio na hatia itaisha lini? Wananchi inatubidi tuikemee kwani ndugu zetu wanaumizwa na kuendelea kufa bila hatia.
   
 2. Mumwi

  Mumwi JF-Expert Member

  #2
  May 29, 2011
  Joined: Jan 9, 2011
  Messages: 592
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Badala ya usalama Wa raia imekuwa uuaji Wa raia Hilo tunakoelewa sijui itakuwaje.
  Imefika wakati watanzania watambue kuwa ulimwengu Wa leo sio Wa kuwategemea Polisi tena maana tulifikiri ni walinzi wetu kumbe ni maadui zetu.
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  May 29, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Jee, kukamatwa kwa huyo mbunge kuna uhusiano wowote na hao waliopigwa risasi?

  Jee, una uhakika upi kuwa hao waliopigwa risasi si majambazi?
   
 4. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #4
  May 29, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  kwahiyo unaona ni sawa majambazi yapigwe risasi na kuuawa??ndio dini yako ilivyokufunza??
   
 5. Landala

  Landala JF-Expert Member

  #5
  May 29, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 938
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Waliopigwa risasi wanatuhumiwa kupeleka mifugo yao kwenye mbuga ya wanyama pori huko Urambo,mheshimiwa mbunge Magdalena Sakaya alikuwa akijaribu kufuatilia suala la hao waliopigwa risasi na akiwa anaongea na baadhi ya ndugu wa majeruhi ndipo polisi walipotokea na kumkamata kwa kumtuhumu kufanya mkutano bila kibali.
   
 6. DJ CHOKA FREDY

  DJ CHOKA FREDY Member

  #6
  May 29, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Polisi wa TZ wanasikitisha sana , mie naamini watz hatuhitaji ujinga tena wa kuvumiliana wakati tunanyanyasika, tatizo polisi wao kuona wameshika hizo bunduki zinawapa kibuli mno ila nao siku zao zinahesabika,,,,
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  May 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Tangu nikiwa mdogo nawachukia polis,hadi leo naendlea kuwachukia na ntazid kuwachukia kwa hki kinachojiri sasa
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  May 29, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,143
  Trophy Points: 280
  Ndio, jambazi ni kuuliwa tu.
   
 9. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #9
  May 29, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  mwisho wa ccm ndo huo jamani msishangae
   
 10. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #10
  May 29, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  but walopgwa risas Tabora c majambazi
   
 11. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #11
  May 29, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  kweli wewe ni fox,kwa mtindo huu tumegundua akili yako ambayo ni sawa na ya panzi,hakika hatuna sababu ya kuendelea kujibizana nawe asiyejua hata haki za binadamu. Kwa heri.
   
 12. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #12
  May 29, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  wewe unaumwa, umevaa kihijabu hapo unaanza kusherehekea na kufurahia wenzako wa CUF waliopigwa risasa hapa? ulizia kwanza usji kukute aliyepigwa ni mme wako.
   
 13. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #13
  May 29, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,047
  Likes Received: 3,074
  Trophy Points: 280
  Haipo sheria ya mtu kumuua mtu mwingine,mie nasema jamani inafaa tukaanza kutoa kichapo kwa polisi pindi tunapoweza vinginevyo watatumaliza hawa...

  polisi wetu ni vilaza,kama wanaua nao ni lazima wauliwe na kamwe hawawezi kutushinda
   
 14. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #14
  May 29, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Sasa mkuu mbona unapingana na sheria?umesema hamna sheria ya kuua, then badae unataka tuwaue polisi...kwa hiyo unataka vita?
   
 15. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #15
  May 29, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,996
  Likes Received: 2,651
  Trophy Points: 280
  Changes we need.
   
 16. O

  Omr JF-Expert Member

  #16
  May 29, 2011
  Joined: Nov 18, 2008
  Messages: 1,160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  acha wapigwe risasi, mikutano na maandamano isiyo na maana.
   
 17. F

  FJM JF-Expert Member

  #17
  May 29, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  FaizaFoxy, inaonekana you are a very cold, hearless person. majibu yako hapo juu yananifanya neseme hivyo. Polisi hawana mamlaka kisheria kuuwa -unless kwenye extreme situation (life threatening situation). Lakini tumeona matukio ya polisi kuuwa raia wasiokuwa na hatia wala silaha inazidi kuongezeka. Maana yake polisi wanauwa hata kama hawako kwenye extreme situation. Mwaka huu peke yake wameuwa watu wasiopunguwa 70!

  Your suggestion kwamba hawa waliopigwa risasi huko Tabora wanaweza kuwa majambazi, are you saying Mbunge Sakaya (CUF) alikuwa amezungukwa na majambazi? Na hayo majambazi yalikuwa na silaha? na walikuwa wanatishia usalama wa polisi?

  Kinachopita tabu kwenye message yako si tu unaonesha how cold you are dhidi ya binadamu wenzako ila kwa sababu unazozijuwa wewe mwenyewe umeamuwa ku-destroy reputation ya hao walipigwa risasi na polisi!!!!
   
 18. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #18
  May 29, 2011
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Siku waTZ nao wakiamua kuwashambulia polisi sijui itakuwaje? hivi kwani polisi wako wangapi nchi hii? maana naona wana kiburi sana.
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  May 29, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  kumbe kafu ina wabunge....:A S-confused1: nilidhani walihamia ccm mara tu baada ya ndoa yao na ccm kufungwa :A S 13::doh:

  haya bana, mbwa kala mbwa :croc:
   
 20. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #20
  May 29, 2011
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 2,125
  Likes Received: 290
  Trophy Points: 180
  Hivi unatetea nini Mkuu? Maswali yako hayaonyeshi nia ya kupata maelezo bali kutetea wenye nguvu. Ni vigumu kuamini unafanya uyafanyayo kwa utashi wako.
   
Loading...