Polisi Wamhanya Prof. Lipumba, afanya Mikutano atakavyo

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,491
54,884
Heshima kwenu wakuu,

Nashangaa kuona Polisi wakimuhanya Prof. Lipumba. Hapo awali polisi walipiga marufuku mikutano ya hadhara hata ya ndani. Walikuwa wakikukamata unashikishwa bango eti ni mchochezi enzi za Salum Mwalimu wa CHADEMA.
FB_IMG_1476123696765.jpg

Lakini safari hii wamekuwa tofauti, Lipumba anafanya mikutano ya Siasa na Polisi hawaongei lolote, au Polisi wameamua kuruhusu Demokrasia?

Leo Lipumba kafanya mikutano atakavyo hamna aliyemsema hata kumuandikia barua.

Polisi wamempa ulinzi muda wote kwa kile walichodai kuna habari za kintelejensia ya uwezekano wa kifanyika virugu.

Tanzania Nchi nzuri sana. Ndo nmeamini Viongozi wetu wamechaguliwa kupambana na mashetani. Viva Tanzania Viva
uploadfromtaptalk1476123156774.jpeg
uploadfromtaptalk1476123163799.jpeg
IMG-20161010-WA0033.jpg
IMG-20161010-WA0032.jpg
 
Heshima kwenu wakuu,

Nashangaa kuona Polisi wakimuhanya Prof. Lipumba. Hapo awali polisi walipiga marufuku mikutano ya hadhara hata ya ndani. Walikuwa wakikukamata unashikishwa bango eti ni mchochezi enzi za Salum Mwalimu wa CHADEMA.

Lakini safari hii wamekuwa tofauti, Lipumba anafanya mikutanobya Siasa na Polisi hawaongei lolote, au Polisi wameamua kiruhusu Demokrasia?

Leo Lipumba kafanya mikutano atakavyo hamna aliyemsema hata kumuandikia barua.

Tanzania Nchi nzuri sana. Ndo nmeamini Viongozi wetu wamechaguliwa kupambana na mashetani. Viva Tanzania Viva
View attachment 415703View attachment 415704
Anatekeleza special mission kutoka magamba
 
Aisee....Prof anakubalika kinoma.....piga kazi Nguyuru Ibrahimu Haruna Lipumba.
 
Back
Top Bottom