Polisi wamewashindwa Majambazi - wako bize kupambana na Raia Wema!

Bundewe

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
400
141
Katika kipindi cha hivi karibuni, nimefuatilia nyendo za jeshi letu la polisi na kugundua limebadili kabisa mwelekeo wake wa kupambana na uhalifu. Sasa limeanza kushughulikia raia wema.

wametajwa mafisadi waliochangisha fedha kwa ajili ya kupitisha bajeti....polisi kimya. Waziri Mwakyembe kalalamika kuwekewa sumu, polisi ndo kwanza wanatetea. Dr. Slaa na Mnyika wameeleza kwamba wanawindwa na wahalifu ili watoe roho zao ....polisi kimya. Wabunge Mhe. Kiwia na Machemli wamepata kipigo ......polisi wametulia tu. Dr. Ulimboka katekwa na kupigwa .....polisi wako usingizini.

Kwa sasa polisi wako bize kupambana na wanafunzi wanaoandamana, walimu waliogoma, kumwaga maji ya pilipili kwenye mikutano ya chadema, na kubambikizia raia wema kesi.

Tunaelekea wapi????
 
polisi hawana maamuzi yao hadi wapate maelekezo toka CCM.

Serikali corrupt haikusanyi kodi bali kukimbizana na watu barabarani ---MWL J K NYERERE
 
majambazi gani walioshindwa na polisi mkuu! polisi wenyewe ndo majambazi! tz hamna majambazi zaidi ya mapolisi wenyewe! kwaiyo hawajawashindwa majambazi mana hamna zaidi ya wao wenyewe! yani bora katiba ikasema raia anamkamata polisi kwa ujambazi! natumaini utakua umenielewa na maanisha kitu gani hapa mkuu
 
Kama Mahita alikuwa anakula sahani moja na majambazi kwanini said Mwema na Kova wasile nao sahani moja?
 
majambazi gani walioshindwa na polisi mkuu! polisi wenyewe ndo majambazi! tz hamna majambazi zaidi ya mapolisi wenyewe! kwaiyo hawajawashindwa majambazi mana hamna zaidi ya wao wenyewe! yani bora katiba ikasema raia anamkamata polisi kwa ujambazi! natumaini utakua umenielewa na maanisha kitu gani hapa mkuu

Hapa umenena mkuu, TOOOOOOOOOOOSHA!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Back
Top Bottom