Polisi wameugeuza mlima kutonga kuwa chanzo kipya cha mapato.

bablai2020

Member
Sep 5, 2020
83
150
Habari zenu wapendwa ,naamini bado mpo na hangover ya furaha ya did.Kuna Jambo ningependa kuliweka hapa nikiamini mamlaka husika wanaweza kulipitia na kuliangalia upya.
Last week nilikuwa na safari ya kuelekea nyanda za juu kusini . Bahati nzuri nilifankiwa kupata lifti kwa jamaa yangu mmoja alikuwa na safari ya uelekeo huo. Kufika pale kitonga kama kawaida unakutatana na mabango mbali mbali ya tahadhari ukitahadharishwa juu ya hatari ya mlima na kwa bahati mbaya mlima mzima huruhusiwi ku overtake. Basi tulipoanza kuupanda mbele kidogo tukakutana na malori manne yamesheheni mzigo tukayafwata kwa taratibu kwa dk kadhaa kufika mbele kidogo akaona upenyo (kwenye mlima kuna sehemu wamepanua barabara kwenda kushoto) jamaa akatanua kwenda kushoto kabisa akapata upenyo wa kupita..kwenda mbele kidogo tukakutana na malori mengine.tukayafwata na tulipofika kona iliyo vikzuri tukachomoka kama kawaida .kazi ikawa ni kuangalia usalama na kuchomoka ..kufika kat Kati ya mlima tukakutana na trafki akatupiga mkono tukae pembeni..tuliposhuka akatuita na kutuonyesha kwamba mmeanza kucheza rafu kuanzia kuleee.kumbe bwana waliposimama wanauwezo wa kuona barabara kuanzia mwanzo wa mlima ..
Tukamsikiliza kisha nikamuuliiza kwa hiyo huu mlima wote haturuhusiwi ku overtake ?
Akanijibu kwa hasira hujui Alama za barabarani ? Umesona uderava kweli?
Nikamjibu mbona hujajibu swali langu?
Nikamwomgezea swali lingine..kwa hiyo mimi mwenye gari dogo Natakiwa niwe nyuma ya malori haya hadi mwisho..hamuoni kwamba ni hatari na upotevu wa muda?
Nikaona anazidi kuwa mkali..yaani wewe badala ya kuomba msamaha unajifanya kuhoji na kujifanya mjuaji?
Nikamjibu sioni sababu ya kuomba msamaha kwa sababu kiuhalisia huu mlima hakuna gari dogo litakalofwata hiyo sheria yenu hata ninyi wenyewe hamuwezi kuifwata..huu niuonevu wa wazi yaani haina tofauti na vibaka wa usiku..mzee akawaka na kusema huyu lazima aandikiwe maana anajifanya mjuaji..nikamwambia jamaa yangu wacha waandike nitakulipia..hakuna kuwapa hela ni bora niichangie serikali yangu.
Mara ghafla wakalisimamisha gari lingine dogo kwa kosa lile ..alipofungua kilo kumbe wanafahamiana wakaanza kuchekena na kupigishana story kisha akamtakia safari njema.nikamuliza huyu jamaa alikuwa nyuma yangu na malori niliyoanza nayo mimi bado nayaona yaleee kwenye kona ya pili ya mlima..ina maana huyu Nae aliyapita ..mbona mmemwachia?
Wakajibu usitufundishe kazi wewee..sisi ndio wenye mlima..nikabaki nashangaa huku nikimwomba amalizie kutuandikia tuendelee na safari..wakati anandika yakapita malori matatu na fuso nyuma yake. Akamwambia dereva wa fuso acha kulal overtake weweee.jamaa akaovertake..nikamuuliiza na hii tunaiitaje ? Akajibu mm ndio mtu wa usalama nimemruhusu ....nikabaki nashangaa.
Kabla sijaondoka nikaliona gari walilopaki pembeni..nikacheka Sana wakaniuliza wacheka nini.
Nikawambia mwaka huu January nilisafiri toka makambako nikapita hapa..kufika ilula huwa hamruhusu ku overtake kabisa ingawa pako vizuri.ghafla nikapitwa kwa kazi na hii gari na mbele kulikuwa na malori kadhaa akayapita tena. Kuna jamaa akaamua kuwaiga hakufika hata mbali akadakwa akaandikiwa ..bahati nzuri mi napafahamu nikawa mpole..kufika kabla ya mlima nikalikuta hili gari lenu mmepaki ..ndio nikagundua kumbe ni trafki ndio maana hamkusimamishwa..wakati nashuka mlima mkaja tena mkanipita kwa kasi na malori kadhaa mbele nikaja nikawakuta hapa ..sasa hizi sheria nyie haziwahusu au?
Wakanijibu kwa hasira tumeshakuandia naomba uondoke..nikawauliza kama mnasena huu mlima ni hatari ina maana hiyo hatari iko kwetu tu? Ila kwa maaskari na jmaa zao Wana kinga.? Nikaona wamekuwa wakali na kurudi kwenye ofisi yao..
Naomba serikali wauangalie huu mlima vizuri..wasitugeuze raia kama chanzo cha mapato.Ni kwa nn mtunge sheria ambayo hta ninyi hamuwezi kuifwata?
 
Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
2,999
2,000
Jiulize kwanini siku hizi ni nadra sana kumuona Askari Polisi na bunduki kama miaka ya nyuma. Kila unaemuona kwa sasa yuko na Efd machine. Hadi usiku wako nazo!! Kwa maana nyingine MAPATO ni muhimu kuliko USALAMA.
 
Msanii

Platinum Member
Jul 4, 2007
8,843

Yaani wewe mbishi kinyama.

Jamaa lazima walijiuliza maswali mengi sana hapo
 
GREAT VISIONAIRE

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
333
500

Kabla sijaondoka nikaliona gar
Sidhani kama umesoma driving school ama ndio kama sisi wa kununua leseni.
Brother mlima kitonga unaovertake? Kweli?
Halafu unasimamishwa unaanza kulalamika kweli brother?
Una familia brother? Una mke na watoto?
Magari yanaua brother, ajali za barabarani zinaua. Usicheze na maisha yako.
Huyaoni Magari yaliyoanguka chini pale kitonga?
Muulize kigwangala, ajali haziangalii wewe ni kiongozi ama raia wa kawaida.
Jifunze defensive driving hii course hata online unaipiga utajua nini maana ya kuendesha gari kwa usalama wako
 
bablai2020

Member
Sep 5, 2020
83
150
Jiulize kwanini siku hizi ni nadra sana kumuona Askari Polisi na bunduki kama miaka ya nyuma. Kila unaemuona kwa sasa yuko na Efd machine. Hadi usiku wako nazo!! Kwa maana nyingine MAPATO ni muhimu kuliko USALAMA.
Umeongea point..yaani hata wale ffu wa pikipiki wako na Efd ..kutwa kufukuzana na wafanya biashara..
 
bablai2020

Member
Sep 5, 2020
83
150
Sidhani kama umesoma driving school ama ndio kama sisi wa kununua leseni.
Brother mlima kitonga unaovertake? Kweli?
Halafu unasimamishwa unaanza kulalamika kweli brother?
Una familia brother? Una mke na watoto?
Magari yanaua brother, ajali za barabarani zinaua. Usicheze na maisha yako.
Huyaoni Magari yaliyoanguka chini pale kitonga?
Muulize kigwangala, ajali haziangalii wewe ni kiongozi ama raia wa kawaida.
Jifunze defensive driving hii course hata online unaipiga utajua nini maana ya kuendesha gari kwa usalama wako
Naomba nikuulize swali -umeshawahi kudrive kuupanda huu mlima..au inasikiliza story tu ..jaribu kuupanda kisha kaa na hayo malori hadi mwisho ndio uje ku comment hapa..wacha madereva waseme ndio wanaojua machungu ya huu mlima.hauna hatari yeyote..KILA sehemu ya bara bara ni hatari usipokuwa muangalifu..-umeshawahi kukutana na Lori limeshehemi mzigo ukapanda nalo. ? Kipi risk kukaa nyuma yake au kuliacha?
 
bablai2020

Member
Sep 5, 2020
83
150
Sidhani kama umesoma driving school ama ndio kama sisi wa kununua leseni.
Brother mlima kitonga unaovertake? Kweli?
Halafu unasimamishwa unaanza kulalamika kweli brother?
Una familia brother? Una mke na watoto?
Magari yanaua brother, ajali za barabarani zinaua. Usicheze na maisha yako.
Huyaoni Magari yaliyoanguka chini pale kitonga?
Muulize kigwangala, ajali haziangalii wewe ni kiongozi ama raia wa kawaida.
Jifunze defensive driving hii course hata online unaipiga utajua nini maana ya kuendesha gari kwa usalama wako
Tafuta dereva wa gari dogo aliyewahi kupanda ..ukipata hata mmoja atakayekuamhia hajawahi kuovertake pale basi njoo u comment..
 
Munambefu

JF-Expert Member
Jun 24, 2012
1,787
2,000
Angalao unge overtake kulia unaweza kujitetea pamoja na kwamba alama imekataza, sasa wewe umepitia kushoto Yani Una makosa mawili.Na hii ndio kero kubwa ya bodaboda
 
bablai2020

Member
Sep 5, 2020
83
150
Angalao unge overtake kulia unaweza kujitetea pamoja na kwamba alama imekataza, sasa wewe umepitia kushoto Yani Una makosa mawili.Na hii ndio kero kubwa ya bodaboda
Hakuna sheria inakuruhusu ku overtake kushoto..ukiwa wapanda bara bara baadhi ya maeneo wamepanua upande wako wa kulia ..ukiwa unashuka ni upande wa kushoto..waliopanda huu mlima wananielewa maana mkono wa kushoto ukipanda ni mwamba
 
Halaiser

JF-Expert Member
Apr 3, 2014
2,999
2,000
Sidhani kama umesoma driving school ama ndio kama sisi wa kununua leseni.
Brother mlima kitonga unaovertake? Kweli?
Halafu unasimamishwa unaanza kulalamika kweli brother?
Una familia brother? Una mke na watoto?
Magari yanaua brother, ajali za barabarani zinaua. Usicheze na maisha yako.
Huyaoni Magari yaliyoanguka chini pale kitonga?
Muulize kigwangala, ajali haziangalii wewe ni kiongozi ama raia wa kawaida.
Jifunze defensive driving hii course hata online unaipiga utajua nini maana ya kuendesha gari kwa usalama wako
Mkuu wakati mwingine kuwa nyuma ya lori ni hatari zaidi. Ni sawa na mtu anaekuwa kwenye mtumbwi unaozama na yeye hajui kuogelea.
 
TODAYS

JF-Expert Member
Apr 30, 2014
8,523
2,000
Sidhani kama umesoma driving school ama ndio kama sisi wa kununua leseni.
Brother mlima kitonga unaovertake? Kweli?
Halafu unasimamishwa unaanza kulalamika kweli brother?
Una familia brother? Una mke na watoto?
Magari yanaua brother, ajali za barabarani zinaua. Usicheze na maisha yako.
Huyaoni Magari yaliyoanguka chini pale kitonga?
Muulize kigwangala, ajali haziangalii wewe ni kiongozi ama raia wa kawaida.
Jifunze defensive driving hii course hata online unaipiga utajua nini maana ya kuendesha gari kwa usalama wako
Huijui kitonga au utakuwa mfuatiliaji mzuri wa story za eneo hilo, comment yako inadhihirisha.
 
RRONDO

JF-Expert Member
Jan 3, 2010
45,260
2,000
Hakuna sheria inakuruhusu ku overtake kushoto..ukiwa wapanda bara bara baadhi ya maeneo wamepanua upande wako wa kulia ..ukiwa unashuka ni upande wa kushoto..waliopanda huu mlima wananielewa maana mkono wa kushoto ukipanda ni mwamba
Huyo polisi amekushinda sehemu moja tu. Kuovateki sehemu isiyoruhusiwa. Hayo maelezo mengine unayotoa inafaa yawafikie tanroads. Polisi yuko pale kusimamia sheria.
 
iam Lucha

JF-Expert Member
Aug 24, 2018
2,667
2,000
Kama hujaridhika na haujavunja sheria za usalama barabarani kataa kulipa faini upelekwe mahakaman ukashinde kesi

Maana umevunja sheria ya usalama barabarani alaf umekuwa kigaga
 
  • Thanks
Reactions: PNC

MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
6,586
2,000
Sidhani kama umesoma driving school ama ndio kama sisi wa kununua leseni.
Brother mlima kitonga unaovertake? Kweli?
Halafu unasimamishwa unaanza kulalamika kweli brother?
Una familia brother? Una mke na watoto?
Magari yanaua brother, ajali za barabarani zinaua. Usicheze na maisha yako.
Huyaoni Magari yaliyoanguka chini pale kitonga?
Muulize kigwangala, ajali haziangalii wewe ni kiongozi ama raia wa kawaida.
Jifunze defensive driving hii course hata online unaipiga utajua nini maana ya kuendesha gari kwa usalama wako
Sina uhakika kama unakijua ulichoandika hapa.
 
mkorinto

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
24,077
2,000
Sidhani kama umesoma driving school ama ndio kama sisi wa kununua leseni.
Brother mlima kitonga unaovertake? Kweli?
Halafu unasimamishwa unaanza kulalamika kweli brother?
Una familia brother? Una mke na watoto?
Magari yanaua brother, ajali za barabarani zinaua. Usicheze na maisha yako.
Huyaoni Magari yaliyoanguka chini pale kitonga?
Muulize kigwangala, ajali haziangalii wewe ni kiongozi ama raia wa kawaida.
Jifunze defensive driving hii course hata online unaipiga utajua nini maana ya kuendesha gari kwa usalama wako
humo barabarani isingekuwa nafsi za wasio na hatia pangeachwa kama palivyo,ili kila mtu ajifunze kwa vitendo.

kuna bango la barabarani nililiona nchi za mbele limeandikwa kwa kiingereza tafsiri yake ni hii.
"maisha yako yanaweza yasiwe na thamani kwako na kwetu pia,ila usitupe kazi ya kusafisha lami yetu"

huyu ni ile aina ya watu anayetakiwa kuchangia serikali hata kwa makosa 7 au 9,ili kabla hajafa na buyu, serikali iwe imenufaika naye
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom