Polisi wamejiaandaaje kupambana na ujambazi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi wamejiaandaaje kupambana na ujambazi?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Bujibuji, Dec 2, 2009.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Dec 2, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,263
  Likes Received: 22,007
  Trophy Points: 280
  Hivi jeshi letu la polisi limejiandaaje kupambana na uhalifu wa kutumia silaha kwa majambazi ambao wanaweza kuwa na magari, pikipiki, sare na bunduki kama za wanajeshi wa polisi?
  Maana sasa huku mtaani kwetu imekuwa kawaida tukiona difenda nyeupe au ya dark green tunajua kuwa ni polisi, na wala hatuwatilii shaka watu hawa.
  Lakini vipi siku moja majambazi wakija katika muonekano tuliozoea kuwaona nao polisi wetu?
   
Loading...