Polisi walitumia fujo za arusha kuliza kisasi pla stanley hotel | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi walitumia fujo za arusha kuliza kisasi pla stanley hotel

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MVUMBUZI, Jan 8, 2011.

 1. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Ndugu zanguni kwanza niwasalimu mlioko huku jamvini.asalaam aleikum

  Naomba nichukue fursa hii nieleze kwa masikitiko jinsi Polisi wa Arusha walivyoutumia mwanya wa vurugu za tarehe 5 januari 2011 kulipiza visasi kwa watu waliokuwa na bifu nao. Nikiwafuatilia kwa makini kabisa nimewasikia wakijisifu kwa kutumia LMG i.e Light Machine Gun kuwamiminia risasi wanaCHADEMA katika bonde la Kanisa la Mjini kati KKKT.

  Pili wakajisifu kwa jinsi walivyotupa bomu la machozi ndani ya Hoteli ya Stanley iliyoko CRDB pale friends Corner ili kulipiza kisasi alichokuwa nacho na mwenye hoteli. Kama mimi mwongo nendeni pale Slanley Hotel muulize kama polisi hawakurusha bomu ndani kabisa na wateja wakiwepo ndani ilhali hakuna Mwana cHADEMA yeyote aliyeingia mle ndani. Huu ni ukatili wa kutisha na inawezekana polisi wengi wenye hasira na raia walikuwa tayari kufanya uovu zaidi kama si hali kudhibitiwa. Polisi aliyeshabikia haya mambo na aliyeshiriki kuwa miminia watu risari namfahamu kwa sura na mahali anapoishi kwa anayetaka kufanya homework ya kumshughulikia tuwasiliane.
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Naomba uliweke jina lake hapa, au ni PM
   
 3. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Mhhh...taratibu jamani
   
 4. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Huwa anavaa koti refu na kofia nyeupe ya Trafic na amenunua gari jipya hivi karibuni la rangi ya silva linafana na Vista na wee nenda pale kwenye geti ya kilimo asubuhi na mchana utamwona akitoka kwani ni mrefu na ana mwanya na usoni anaonyesha kuwa na roho mbaya kwani ana macho mekundu. Huyu anatakiwa atekwe nyara atusaidie kukamata wengine. Siwezi mtaja jina ili nisikiuke taratibu za humu jamvini
   
 5. m

  mzalendo2 Senior Member

  #5
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  huyu akipatikana japo mambo ya sodoma na gomora ya mekatazwa mm mmikinipa nitamalizana nae halafu kifo na kutupa maiti yake barabarani waokote mizoga yao wshenzi hawa
   
 6. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #6
  Jan 8, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Huyu alaaniwe sana,naomba uelekeze vizuri kilimo ndo wapi?natamani nimle nyama
   
 7. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #7
  Jan 8, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  tobaaaaaaaaaaaaa!
   
 8. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #8
  Jan 8, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,971
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Ni pale ofisi za kilimo mkoa Arusha wanapoosha mbwa chini ya ofisi za Uhamiaji. Yuko nyumba ya mwisho kabisa baada ya ofisi za kilimo
   
 9. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #9
  Jan 8, 2011
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Taratibu za jamvini hazikatazi kumtaja ili mradi tu isiwe Tetesi bali ni fact ambayo una uhakika nayo.
   
 10. M

  Mwan mpambanaji JF-Expert Member

  #10
  Jan 8, 2011
  Joined: Apr 3, 2008
  Messages: 468
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  asante nyumba ya mwisho upande gani?na je rangi yake ni mweusi mweupe au maji ya kunde?
   
Loading...