Polisi waliopiga risasi kwenye tukio la tarehe 15 Juni 2013 walitokea Morogoro - Lema

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,039
2,199
Mbunge Godbless Lema akihojiwa na mwandishi wa sunrise radio amesema wanao ushahidi wa tukio lililotokea siku ya tarehe 15/june/2013.

Kwamba polisi wanaoonekana kurusha risasi siku hiyo walitokea Morogoro. Ushahidi unazidi kujidhihirisha siku hadi siku.

Lema ameongea katika hali ya utulivu mno, bado anaonekana kuwasihi wafuasi wa chadema kuwa watulivu.

Asema POLISI wamekosa Hekima katika kusimamia mambo haya. CHADEMA wanamfahamu aliyerusha lile bomu ambalo limeleta maafa kwa watu wawili, Mh.TUNDU LISSU Mbunge wa Singida Mashariki na Mh. Akonai Mbunge wa Karatu wanashikiliwa kituo cha POLISI mpaka dakika hii. Na Mabomu bado yanapigwa mpaka sasa, Jambo lkujifunza POLISI wetu ni wachanga sana ktk kukabiliana na matukio kama haya, KWANZA wao ndio waliwaruhusu CHADEMA waondoe gari katikati ya uwanja wa Soweto,kuwasha Spika na kuhutubia WANANCHI,Kwanini POLISI tena waanzisha kulipua Mabomu?

Lingine ambalo nimeshuhudia kwa Macho na masikio yangu mwenyewe nikiwa stand ndogo ya daladala zinaenda USA, Ngaramtoni, Majengo na Njiro,POLISI waliingia mpaka ndani ya stand wakaanza kutembeza kisago kuna kijana mfanya biashara wamepigwa na POLISI mmoja huku anaambiwa kimbia (nilijiuliza akimbie aende wapi? Wamemkuta yuko kwenye biashara atamwachia NANI hizo bidhaa zake? Baada ya kumpiga akatugeukia sisi tulikuwa watatu akaagiza lete fimbo huko POLISI yeye mwenyewe akitetemeka chapa Hawa wazee LAKINI naona wenzake alipuuza amri yake hio.

Kisha sisi tulianza kuondoka mdogo mdogo bila kujali watatupiga ama waturushia mabomu ya machozi au risasi za moto. Askari wetu hawajatulia kisaikolojia.

Nilidhani baada ya kufanikiwa kuwasabaratisha watu kwenye uwanja wa Soweto, wangeanz kutumia gari lenye vipaza sauti kuwatangazia watu waliomitaa ya karibu na Soweto wasirudi tena uwanjani chakusikitisha wakaendeleza mabomu mpaka saa hizi wamesababisha na vijana nao wakaanza kuchoma matairi.

Mh. Lema amesema hawatautoa ushahidi kwa POLISI maaana wao ndio wahusika na watuhumiwa namba moja. .
 
Attachments

  • arusha 18-june-2013.jpg
    arusha 18-june-2013.jpg
    8.7 KB · Views: 2,779
Wameshajulikana mapema sana! Kwenye kamera zote zile wasingeshindwa kuonekana.

Lema kasema zitaoneshwa live siku ya mazishi ya JUDITH MOSHI aliyekuwa kiongozi wa BAWACHA Arusha aliyefia kwenye mlipuko wa bomu tarehe 15-06-2013 pale uwanja wa SOWETO.
 
Asema POLISI wamekosa Hekima katika kusimamia mambo haya. CHADEMA wanamfahamu aliyerusha lile bomu ambalo limeleta maafa kwa watu wawili, Mh.TUNDU LISSU Mbunge wa Singida Mashariki na Mh. Akonai Mbunge wa Karatu wanashikiliwa kituo cha POLISI mpaka dakika hii. Na Mabomu bado yanapigwa mpaka sasa, Jambo lkujifunza POLISI wetu ni wachanga sana ktk kukabiliana na matukio kama haya, KWANZA wao ndio waliwaruhusu CHADEMA waondoe gari katikati ya uwanja wa Soweto,kuwasha Spika na kuhutubia WANANCHI,Kwanini POLISI tena waanzisha kulipua Mabomu?

Lingine ambalo nimeshuhudia kwa Macho na masikio yangu mwenyewe nikiwa stand ndogo ya daladala zinaenda USA, Ngaramtoni, Majengo na Njiro,POLISI waliingia mpaka ndani ya stand wakaanza kutembeza kisago kuna kijana mfanya biashara wamepigwa na POLISI mmoja huku anaambiwa kimbia (nilijiuliza akimbie aende wapi? Wamemkuta yuko kwenye biashara atamwachia NANI hizo bidhaa zake? Baada ya kumpiga akatugeukia sisi tulikuwa watatu akaagiza lete fimbo huko POLISI yeye mwenyewe akitetemeka chapa Hawa wazee LAKINI naona wenzake alipuuza amri yake hio.

Kisha sisi tulianza kuondoka mdogo mdogo bila kujali watatupiga ama waturushia mabomu ya machozi au risasi za moto. Askari wetu hawajatulia kisaikolojia.

Nilidhani baada ya kufanikiwa kuwasabaratisha watu kwenye uwanja wa Soweto, wangeanz kutumia gari lenye vipaza sauti kuwatangazia watu waliomitaa ya karibu na Soweto wasirudi tena uwanjani chakusikitisha wakaendeleza mabomu mpaka saa hizi wamesababisha na vijana nao wakaanza kuchoma matairi.

Mh. Lema amesema hawatautoa ushahidi kwa POLISI maaana wao ndio wahusika na watuhumiwa namba moja. .
 
Tunaanza na Mungu tutamaliza na MUNGU, ila hao askari wataja juta na hao viongozi wao huyo alieshindwa kuongonza nchi
 
lazima ukikutana na policcm popote chinja chinja kwa sana tu
 
Waionyeshe mapema hiyo video ili CCM wajue mbivu na mbichi!
 
Mungu awape hekima viongozi nchi imeharibika kwa kukosa uadilifu na tamaa zisizo na mbele wala nyuma. Kwani police wangelinda usalama while heshima za mwisho zikitolewa nini kingetokea. Ubabe hauna maana katika hali ya masikitiko na majonzi makuu namna hii.
Hivi kweli kiongozi wa kitaifa anapigwa mabomu kweli.???? E mola tujalie sisi waja wako.
 
Kamanda wa anga yuko wapi muda huu? yupo salama? na makamanda wengine vipi? nasikia lissu na akonay wako ndani... Kila mtu alipo ajaribu kutulia na kuwezesha utulivu upatikane... hoja zitachukua mkondo wake na demokrasia ITASHINDA maana sauti ya wengi ni sauti ya Mungu na kinyume chake hivyo hivyo.... Mungu hajawahi kushindwa na giza kamwe....
 
Waweke ushaihidi hadharani hao mbwa wapigwe moto live hadharani na waliowatuma wajue kuwa kuna sehemu wasidanganye kupanda jukwaani tena.
 
Watu mnajifanya mna uchungu kumbe mnatafuta umaarufu. Mlianza na Mungu ila kwa ujinga wenu atawaacha njiani.
 
Kamanda wa anga yuko wapi muda huu? yupo salama? na makamanda wengine vipi? nasikia lissu na akonay wako ndani... Kila mtu alipo ajaribu kutulia na kuwezesha utulivu upatikane... hoja zitachukua mkondo wake na demokrasia ITASHINDA maana sauti ya wengi ni sauti ya Mungu na kinyume chake hivyo hivyo.... Mungu hajawahi kushindwa na giza kamwe....
mkuu viongozi wa chadema walikuwa wanakutana mafichoni !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom