TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Tanzania Inanishangaza sana, Sio Muda mrefu sana, tangu Polisi walivyomsuumbua sana na kumsachi Askofu Gwajima akiwa Hospitalini na Kisha Kumshitaki, kisa Kuweka silaha vibaya! Sasa wako hawa
1) Paulo Makonda aka Bashite anaingia kwa jinai kituo cha Television ya Clouds, huku akiwa na silaha.
2) Huyu aliyetaka Kumteka aliyekuwa Waziri wa Habati Nape na huku akimtisha kwa Bastola.
3) Hawa waliovamia Mkutano wa waandishi na CUF wakiwa na silaha za Jadi na Bastola.
Gwajima Kashitakiwa kwa kuwa tu bastola yake ilikuwa ndani begi lake lililokuwa na vitu vyake likiwa na wasaidizi wake wakati yeye akiwa mgonjwa! Hakuitumia kumtisha yeyote. Yeye sijui kama analionaje ila mimi nimeona nilitumie kama mfano. Je hawa waliotumia silaha kutisha na kuvamia watu na vituo vya habari mbona wanaachwa? Ni nani anawazuia Polisi kuwachukulia hatua, Kama mtu wa aina hii yupo Watanzania hawaoni kuwa mtu huyu ndiye anayetuma wahalifu hawa, au anaufurahia Uhalifu wao?