Wajibu wa polisi pamoja na mambo mengine kisheria ni kukamata wahalifu na kupeleleza. Wanapomkamata mtu anayetuhumiwa kufanya uhalifu, maana yake polisi wanatimiza wajibu wao kisheria. Kwa nini waanze kusema "mamlaka za juu" zimeagiza? This is unprofessional,unethical statement. Tundu lissu anatuhumiwa kutenda kosa la uchochezi ulio wazi kabisa na alialika watanzania wapaaze sauti kumpinga Raisi HALALI wa nchi. This is incitment contrary to s.390 of the Penal code. Kwanini polisi waseme "eti" mamlaka za juu zimeagiza.The police force should stop making such unauthorized and unethical statement. Wao watimize wajibu kadiri ulivyo..Mhalifu lazima akamatwe popote alipo regardless of his calibre or rank and/or position in the society. We are equal before the law. Kauli hizo za polisi ni za kichochezi. Wanawachonganisha wananchi na serikali.