Polisi wakatwa mishahara yao ni kuilipa DOWANS?

Alipotafutwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsi Nahodha hakuweza kupatikana na baadaye katika mawasiliano ya simu haikupatikana, lakini msaidizi wake alisema kuwa waziri alikuwa safarini Indonesia kufuatilia shughuli za uanzishwaji mradi wa vitambulisho vya taifa.Polisi ni miongoni mwa kada za watumishi wa umma ambazo kwa muda mrefu zimekuwa zikilalamikia mishahara midogo, huku malipo hayo yakielezwa kuwa kichocheo cha kukithiri kwa vitendo vya rushwa ndani ya chombo hicho cha usalama wa raia.

Hapooo nilipokandamizia, baada ya la DOWANS kufail, sasa wamerudi haraka kwenye deal la vitambulishooooooooooooooo. Wanaharakati hebu fatilieni hilooooooooooooooooo!!! Ni epa mbaya zaidi ya dowans!
 
Safi sana ndio asante yao ya kuwapiga watu virungu na kuwaua!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
WanaJF,
Kuna taarifa za uhakika kabisa kuwa polisi wamekatwa 100,000/= kila mmoja kutoka kwenye mishahara yao ya mwezi huu ili serikali iweze kuilipa Dowans mabilioni ya shilingi.
Ni jambo la kusikitisha sana kwa vile linawanyima haki yao polisi wetu hasa ikizingatiwa mishahara yao ni midogo na mazingira magumu ya kazi zao. Sijui ni kwanini wamekata mishahara ya polisi pekee na sio watumishi wengine wa umma kama JWTZ, mahakama, TRA, n.k, n.k...

Tujadili............

Source: Taarifa za ndani ya Polisi
Magazeti ya leo

Akili zao zitakaa vizuri,wao si ndio wanapiga watu mabomu hio ndio mshahara wao.
 
Yani walitakiwa wasilipwe kabisa achilia mbali kuwakata.majinga kweli haya majamaa yani majuha kwelikweli.
 
Hii ni dalili nyingine kwamba Hazina haina kitu. Je, Serikali itapunguza lini mishahara na marupurupu ya Rais, Wabunge na Mawaziri na pia marupurupu ya Marais Wastaafu na Mawaziri Wakuu Wastaafu au wao hawastahili kuguswa?
 
Jamani ni kweli hii, laki moja kuna polisi hawatarudi nyumbani na kitu. Jiulize wenye magari barabarani itakuwaje?
 
Wacha wakatwe wameshaonekana ni vibaraka wa kuwapiga watu ovyo na kulinda maslahi ya chama wengi hawana elimu na hivyo ili kujihakikishia uhakika wa kuendelea kula rushwa na kunyanyasa watu watakaa kimya tu mimi naona tunisia inakuja hapa siku siyo nyingi
Hiyo siyo kweli maana serikali haina maana ni polisi tu serikali ni pamoja na wewe lakini watu hawafahamu au wanafahamu lakini ushabiki wa vyama umetuzidi.
 
Alipotafutwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Shamsi Nahodha hakuweza kupatikana na baadaye katika mawasiliano ya simu haikupatikana, lakini msaidizi wake alisema kuwa waziri alikuwa safarini Indonesia kufuatilia shughuli za uanzishwaji mradi wa vitambulisho vya taifa.Polisi ni miongoni mwa kada za watumishi wa umma ambazo kwa muda mrefu zimekuwa zikilalamikia mishahara midogo, huku malipo hayo yakielezwa kuwa kichocheo cha kukithiri kwa vitendo vya rushwa ndani ya chombo hicho cha usalama wa raia.

Hapooo nilipokandamizia, baada ya la DOWANS kufail, sasa wamerudi haraka kwenye deal la vitambulishooooooooooooooo. Wanaharakati hebu fatilieni hilooooooooooooooooo!!! Ni epa mbaya zaidi ya dowans!
Kweleakwelea naomba unisaidie unoposema hilo ni epa jingine nyingine unamaana gani kwamba vitambulisho visitengenezwe naomba ufafanuzi.
 
Back
Top Bottom