Polisi wakamateni watu hao!

Ralphryder

JF-Expert Member
Nov 16, 2011
4,933
1,294
Nimeona ktk taarifa ya habari ya ITV jioni ya leo, Mama mmoja na kijana mmoja wakaazi wa Longido, wakijinadi hadharani kwamba watamuua muwekezaji baada ya siku 3! Hii imekaaje? Tena wanaongea wazi wazi mbele vyombo vya habari! Ni kosa la jinai kwa mtu yeyote kumtishia maisha mtu mwingine, msingoje mpaka wafanye kweli! Ni ushauri wangu tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom