Polisi waishiwa mabomu ya machozi maeneo ya Mjimwema (Kigamboni) na kukimbia!

CCM yenyewe ndio inayowafungua raia macho kwa kuwaburuza. Acha kiendelee kunuka hasa DAR, TANGA, PWANI, etc alafu tunapokea nchi. Simaanishi cdm tunataka wa TZ waendelee kuteseka , ila wafahamu ccm siyo ile waliotarajia tena!
 
Ile sehemu serikali ilikataza watu kuchimba kokoto na Mchanga kwa kile kichoelezwa kwamba waliahidiwa kuonyeshwa sehemu mbadala ya kuchimba. Lakini wale wananchi wamekaa kipindi kirefu bila kuoneshwa sehemu nyingine ya kuchimba na kila wakifuatilia wanazungushwa so wakaamua kuendelea na uchimbaji wakati serikali ikijipanga kuwatafutia sehemu mbadala. But gafla polisi wakawaingilia na mabomu na kwa lengo la kuwazuia wasichimbe. sasa wanauliza, ajira hawana wale watoto wapi? mia
 
Mungu anaipendelea nchi yetu kwa maovu tuliyonayo tunahitaji kumkimbilia na kuomba toba kubwa sana
 
embu wasiwahusishe JWTZ katika kazi zisizo zao, hizo ghasia ni kazi ya polisi wajeda wana kazi kubwa zaidi na hadi wakiitwa wao basi hali hiyo ni kwamba imeshindikana kabisa na haielezeki, serikali iache kutumia nguvu nyingi kwa uonevu.
 
kwani hao wanajeshi kazi yao si kulinda mipaka ya nchi? si kuna mgogoro wa mpaka huko Malawi?
 
Hayo mazoezi ya kuvumilia mabomu ya machozi wanayowapa wananchi ole wao siku wakifuzu. Au kandoro hajawasimulia yaliyotokea mbeya? mpaka mh Mbilinyi aka sugu kapata uraisi wa mkoa wa mbeya kiulaini.
 
The leadership in both countries must be made to desist from fueling tension and hatred between the brotherly and sisterly peoples of Malawi and Tanzania ..They all must be forced by public pressure to accept the only sensible 20th century solution to the territorial dispute... adhering to the terms of the " the 1982 UN Convention on Law of the Sea that stipulates that in case nations are bordered by a water body (sea or lake), the border of the two nations will always be on the middle of the water body." We should NOT encourage our already power intoxicated and arrogant political leaders to beat war drums and adopt an hypocritical national jingoistic stance to hide their singular lack of patriotism in managing our natural resources, such as minerals including gas and oil... How can one fight a war successfully when ones' teachers and doctors have been drive into despair and are indeed on a warpath with the governmen. When Nyerere led the war against Iddi Amin the national was relatively united behind a national hero, Mwalimu Nyerere, whose integrity was impeccable. War under the leadership of an unethical assortment of self-seeking primitive accumulation Machiavellian dilettante would be a disaster!
Mwl. Lwaitama
 
Chadema hao.. LOL! Kova na Nape watatoa matamko baadae stay tuned

mheshimiwa naibu spika Job Ndugai akishirikiana na mwanasheria mkuu wa serikali Werema wametoatamko bungeni swala hilo limepelekwa mahakamani hairuhusiwi kulizungumzia tena.
 
Tunashukuru kwa taarifa mkuu. Tunawapa pole walioumia au kupata madhara ya hali hiyo. Saa ya ukombozi ii sasa, 2015 ifanyike kweli ili angalao tuone upande mwingine wa shilingi kama hali itaendelea kuwa mbaya hivi basi itakuwa Tz tumelaaniwa.
 
Naanza kukubaliana na wale waliosema wanajeshi wanatakiwa sasa waende vitani kwasababu wanagharamiwa tu na pesa za walipa kodi, kama hawafanyi kazi yao,sasa ndo wanatumika dhidi ya wananchi?Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi si ku police,nchi haiko vitani yote bayo ya nini?

JF with "modern great minds." There is a strong feeling that JF is slowly being occupied by hooligans.
 
The leadership in both countries must be made to desist from fueling tension and hatred between the brotherly and sisterly peoples of Malawi and Tanzania ..They all must be forced by public pressure to accept the only sensible 20th century solution to the territorial dispute... adhering to the terms of the " the 1982 UN Convention on Law of the Sea that stipulates that in case nations are bordered by a water body (sea or lake), the border of the two nations will always be on the middle of the water body." We should NOT encourage our already power intoxicated and arrogant political leaders to beat war drums and adopt an hypocritical national jingoistic stance to hide their singular lack of patriotism in managing our natural resources, such as minerals including gas and oil... How can one fight a war successfully when ones' teachers and doctors have been drive into despair and are indeed on a warpath with the governmen. When Nyerere led the war against Iddi Amin the national was relatively united behind a national hero, Mwalimu Nyerere, whose integrity was impeccable. War under the leadership of an unethical assortment of self-seeking primitive accumulation Machiavellian dilettante would be a disaster!
Mwl. Lwaitama

When it comes to protecting our territory against foreign invaders, we must come together as one. Put aside all internal problems in order to resist aggressors. Hakuna adui anayekushambulia ukiwa stable. Na ndio maana nahisi Malawi wamechagua wakati huu kuweka mbele ajenda yao. Enter Tanzanians. Kwa watu wenye mawazo mabovu kama haya pamoja na threads nyiiiiiingi zilizoanzishwa JF kulishambulia JWTZ na viongozi wengine wanaojaribu kushughulikia mgogoro wa Malawi, nahisi Malawi wanafanikiwa katika stratergy yao. Bado siamini kama watanzania ni vipofu kiasi hiki wasione tishio lililopo na haja ya kuwa pamoja kama taifa kuliko kujaza server na hate threads na maneno ya kuligawa taifa. Sasa kama na wasomi wazee wetu ambao tulitarajia tuchume hekima toka kwao wana politicize mgogoro wa mpaka kutaka kui-undermine serikali, sidhani kama ni sawa hata kidogo.
 
Naanza kukubaliana na wale waliosema wanajeshi wanatakiwa sasa waende vitani kwasababu wanagharamiwa tu na pesa za walipa kodi, kama hawafanyi kazi yao,sasa ndo wanatumika dhidi ya wananchi?Kazi ya jeshi ni kulinda mipaka ya nchi si ku police,nchi haiko vitani yote bayo ya nini?
Masanja aliomba mechi ya kirafiki lakn akibezwa humu
 
Back
Top Bottom