Haya ndio matokeo ya kuiba kura kishamba, mmewatoa bungeni mkidhani wataacha siasa , watu wameamua kufanya siasa mtaani, mmeanza kupaniki
 
Eti mama wa kambo!

Na bado, si ulikuwa unamdemkia humu kwamba anaupiga mwingi baada ya dhalimu wako kufariki?

Ahaaa wapi sijawahi kumsifia huyo mama zaidi ya kusema sio dhalimu kama yule ibilisi aliye motoni. Hata ulazimishe huyu mama sio dhalimu kama yule ibilisi fullstop.
 
Sasa unawaambia wananchi hivi au chadema?
Mbowe na Chadema wanafundisha wananchi umuhimu wa kuanza mchakato wa kikatiba nyie mnaona kama wanakosea.

Umuhimu wa hili jambo wanalolisemea kina Mbowe na Mwamakula mtakuja kulitafuta kwa gharama kubwa sana!
Wananchi hawana muda na hayo maujinga yenu.. Katiba ndio itapeleka chakula kwenye meza zao au Katiba ni kwaajili ya maslahi ya wanasiasa??
 
Back
Top Bottom