Polisi wafanya doria Sinza kuzuia maombezi, WanaCHADEMA wawili washikiliwa

Kumbe hawa viongoz wameishalaaniwa na waowasapot,maombi siku hiz yanazuiwa,kwe hii Nchi Lucifer kaiteka
 
Bora wazuie..mambo mengine ni upuuzi..badala ya kuombea mambo ya msingi kama matetemeko na vitu vingine..mnahangaika na msaliti..hao ACACIA wenyewe ambao ni mwajiri hawajatuma hata mwakilishi kwenda nairobi
Ni kweli kabisa, bora wangekuombea wewe ufunguke inaonekana una pepo chafu!
 
BAVICHA wamekosea sana,haya maombi walitakiwa wayapangie Goba,kule kuna ujambazi sana,nadhan wakazi wa Goba tungelala kwa amani maana Polisi wangepiga doria usiku kucha
 
Siku hizi kazi za polisi zinapangwa na chadema, nashauri viongozi wa chadema waendelee na utaratibu huu wa kuwapangia kazi polisi mpaka Lissu atakapopona, kila siku wawe wanatangaza maombi au maandamano mbalimbali ili kuwa keep bize askari
Nime ipenda hii idea, hii itasaidia pia kuwaondoa hawa wanao kaa barabarani na kutoza fine.
 
Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wanachama wa CHADEMA wanashikiliwa na Polisi Mkoa wa Kinondoni kwa kuhojiwa kuhusu mpango wa maombezi uliopangwa kufanyika katika uwanja wa Tip -Sinza, wilayani Ubungo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kinondoni, Murilo Jumanne aliyekuwa uwanjani hapo na kikosi cha askari zaidi ya 25 amesema watu hao walikamatwa saa 3:40 asubuhi wakiwa eneo hilo.

"Tunawashikilia na tutawahoji kama wana uhusiano na kile kilichopangwa kufanyika hapa kwa sababu kilishapigwa marufuku. Kama hawana uhusiano tutawaachia," amesema Kamanda Jumanne.

Amesema, “Atakayetaka kujaribu aje ila cha moto atakiona kwa sababu jitihada za kuzuia watu wema wasikanyage hapa zimeshafanyika sasa wanakuja kufuata nini."

Katika eneo hilo, polisi walikuwa wakiziondoa bajaji wakiwataka madereva wasiziegeshe hapo kwa siku ya leo.

Baadhi ya polisi wameonekana wakiwa na mabomu ya kutoa machozi na walifika uwanjani hapo wakiwa kwenye magari aina ya Toyota Land Cruiser.

Uwanjani hapo hivi sasa ni kweupe kukiwa hakuna maandalizi yoyote kuonyesha kuwa patakuwa na maombezi.

Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo –Chadema (Bavicha) jana Jumamosi lilitoa taarifa likisema leo litaungana na viongozi wa kiroho kufanya maombi maalumu kumwombea Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu anayeendelea na matibabu Nairobi, Kenya baada ya kushambuliwa na kujeruhiwa kwa risasi Septemba 7.

Viongozi wa Bavicha waliofika uwanjani hapo muda si mrefu wamekimbia baada ya polisi kuwafuata walipokuwa wakizungumza na waandishi wa habari.

Chanzo: Mwanachi

Kwaiyo ni kosa kisheria kukutana sehemu kufanya maombezi,,,Ila ni ruksa kukutana kwa wingi kwajili ya fiesta na mambo mengine ya uhasherati
 
Maliyamungu
Ngosha ana choyo sana. Yeye kila siku anaomba kuombewa wengine wanakatazwa. Hajui Mungu anaona unafiki tusioweza kuona sisi binadamu
Bashite yupo kwa waganga wa kienyeji week yote hii anahofia nguvu za Mungu kumuumbua ndiyo maana wanatumia polisiccm kuzuia kila maombi juu ya Lisu
 
Jamani tuna misikiti na makanisa,Hayamambo yanatoka wapi?
Tumuombee tukiwa kwenye Ibada.
Kikulacho kinguoni mwako,Swaala la mhe.LISU linahitaji umakini.
Kumbuka aliyejuu kwa maslai yake huwa apendi mwingine awe kama yeye.
Chadema inamdudu anayependa kula wadudu wengine.
 
“Actions are (judged) by motives (niyyah) , so each man will have what he intended. Thus, he whose migration (hijrah) was to Allah and His Messenger, his migration is to Allah and His Messenger; but he whose migration was for some worldly thing he might gain, or for a wife he might marry, his migration is to that for which he migrated.”
[Al-Bukhari & Muslim]
Kwa hivyo iwapo nia yako kufika uwanjani ni kumuombea Lissu pamoja na kuiziliwa na dola Mungu anakupa thawabu kwa nia njema ya kumuombea nduguyo.
 
Kwaiyo ni kosa kisheria kukutana sehemu kufanya maombezi,,,Ila ni ruksa kukutana kwa wingi kwajili ya fiesta na mambo mengine ya uhasherati
Ni ruksa kukusanyika kwenye mbio za Mwenge kufanya mapenzi bila Kinga na kuambukizana maradhi, lakini kukusanyika kumuombea Lisu Bashite Maliyamungu hataki kwani bado yupo kwa Sangoma anaomba Lisu afe huko huko Nairobi.
 
Jamani tuna misikiti na makanisa,Hayamambo yanatoka wapi?
Tumuombee tukiwa kwenye Ibada.
Kikulacho kinguoni mwako,Swaala la mhe.LISU linahitaji umakini.
Kumbuka aliyejuu kwa maslai yake huwa apendi mwingine awe kama yeye.
Chadema inamdudu anayependa kula wadudu wengine.
sala ni popote tena sala ya kumuombea mgonjwa CCM wanaizuia? hiyo sala ingekuwa ni kwa ajili ya kumuombea Mtukufu malaika wa chato hao Polisiccm wangekwenda huko?
 
Hii ndiyo kazi pekee polisi wa Tanzania wanaweza kuifanya tena kwa weledi sana. Kumkamata mkusanyiko wa watu wasiyo kuwa na silaha. Sasa subiri uwapihie simu kuna tukio la ujambazi watasubiri mpaka majambazi wameshaondoka watakuja kwa mkwala na kijidai kupima pima mwisho wa siku haki na atakaye kamatwa. Na ikibidi kukomaa wanaenda kwenye vijiwe vya ma unemployed wanawakamata wanambiwa hao ndiyo majambazi wenyewe
 
Hii nchi imekuwa Rwanda siku hizi
Lipumba ana kikundi cha Ugaidi kipo Rwanda alikiunda kipindi cha kampeni wakati akiishi Rwanda na sasa kampata mfadhili mzuri Bashite Maliyamungu wapo busy kuwaua Wapinzani wemgi.
 
Ngosha ana choyo sana. Yeye kila siku anaomba kuombewa wengine wanakatazwa. Hajui Mungu anaona unafiki tusioweza kuona sisi binadamu
Hamuwezi kuombea makanisani au misikitini kwenu hadi mwende sinza na migwanda yenu!! Kha! Machadema mnakera sana.
 
Back
Top Bottom