Polisi Wachoshwa kutumiwa na watawala, Ukweli huu hapa

Uchaguzi uliopita hali kwenye vituo vya kura vilivyopo maeneo ya jeshi hali ilikuwa tete.
CCM inalelewa na maafisa wa juu tu wa jeshi wanaoneemeke na system.
 
Jamani naomba kujua kama humu jamvini tuna JF members yeyote ambaye ni Polisi/FFU.samahani lakini napita tu
sasa ukishajua ni polisi so what? wewe unataka michango ya mada au unataka polis/UWT,kila idara inasoma jamiiforum bwaana na ndo maana kila jibu/wazo kuhusu kila idara utalipata hapa
 
Sidhani maana wengi hawajasoma kiasi cha kuwa conversant na IT

Wewe ndio hujui kumbe,4 ur info kuna degree holders kibao 2nawajua wameingia polisi, na ffu na polisi kibao wamesomea ndani ya jeshi,sema system ndio inawaminya wasomi ndani ya chombo hicho..
 
Chuki itazidi zaidi pindi bajeti ya mwaka fedha 2011/2012 itakapowaacha solemba. Watatamani hata wamshuti JK pale magogoni lakini hakuna mwenye ujasiri huo, wataishia kunung'unika tu. Matumaini ya kuongezewa posho na mishahara yatakaponga mwamba na kuzidi kuongezeka kwa amri za mara kwa ambazo nyingi zinatokana na msukumo wa kisiasa ambayo si ajabu hata wenyewe ni washabiki wa vyama hivyo utaumiza sana.
 
Sidhani maana wengi hawajasoma kiasi cha kuwa conversant na IT

Acha ushamba ndugu! hivi unadhani kuwa na email address na kuwasiliana na wenzako au kujiunga na social webs ni mpaka uwe mtaalam wa IT? ujue kuna watoto wa primary sch. wanatumia mtandao kama wewe! haya ni mawasiliano ya kawaida kama kutumia simu. IT ni deep zaidi
 
Kambi ya Ukonga FFU yote CHADEMA! Pia kambi nyingi za FFU nchi nzima ni CHADEMA na watawala hawaelewi kuwa Polisi wanatumia mbinu za kutengeneza migogoro nchini ili wananchi waendelee kuichukia CCM. Kwa kuwa wanaamni kuwa polisi wakifanya hivyo inawakomoa lakini migogoro katika nchi nyingi ilianza hivo. FFU ndi askari wasiothaminiwa kuliko wote. wanakaa vijumba vya ajabu ukiacha siku hizi kuanzisha kitengo cha tigo angalau nao wanavuta vuta kidogo mlungula mtaani lkn ukweli FFU wapo hoi na ndo wasiotaka kusikia CCM na serikali yake ila wanajua kuwa kila wakitembeza kichapo kuuwa raia wananchi wataendelea kuichukia serikali na ndo change itaonekana muhimu kwani wananchi wengi hudanganywa na kuendelea kuchagua hao hao sasa FFU nchi nzima wameapa kuwa hadi2015 watafanya unyama mkubwa kwa raia ili JK akimaliza madaraka aishie mitaani na damu za watanzania na hakuna atakaye mtamani kumwona huko na kwa kuwa mpenda sifa na kujiita mtu wa watu hii itakuwa fundisho. Pia wananchi watakuwa wana hasira na hawatapigia CCM kura na wakiiba watu mtaani kama Ivory Coast na wakiuwa safari ya the Hague...JK anajipa moyo lakini hali ni tete nchini na mengi yatatokea kuelekea 2015

Nakubaliana sana na hoja yako, ukweli ni kwamba FFU na Askari kwa ujumla wanapaswa kufanya hivyo, na ninaamini kabisa inafika wakati wanashangaa kuona wananchi kwanini hawachukui hatua ikiwa wao wanafanya sehemu yao? yaani kufanya mauaji kwa makusudi ili wanainchi wafanye reaction? Kwa upande mwingine FFU na polisi wanachokifanya ni kusaidia kasi ya mabadiriko, lakini wanaokawia kuchukua hatua ni sisi wananchi wenyewe.
Nimeukubali sana mtazamo wako, na kwa hakika tunapaswa kuwaelimisha wananchi kila siku kujua ubaya wa serikali yao katika kushindwa kusimami vyema rasilimali za nchi ili neema kwa kila raia ifike.
 
Back
Top Bottom