Polisi Wachoshwa kutumiwa na watawala, Ukweli huu hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi Wachoshwa kutumiwa na watawala, Ukweli huu hapa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Matola, Jun 5, 2011.

 1. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #1
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Ndugu wanajamvi,
  Mimi huwa sina kawaida ya kuandika porojo hapa jamvini, jana kuna rafiki anaefanya kazi idara nyeti alinifata ili twend tukapate moja moto moja baridi,

  Sasa kutokana na hali halisi ya jinsi tulivyopigika akanishauri twende FFU mase ukonga, ili tunywe laga za buku buku (extreme ) ndipo baada ya bia ya tatu vikaanza kupigwa ving'ora vikiwataka askari wote wa zamu na wale standby wakaripoti juu mara moja, juu maana yake ni kule base kwenye kulenga shabaha, huwezi kuamini mezani kwani nilikuwa na FFU watano ambao walikuwa standby lakini wote walikimbia na kutuomba tuhame kwenye Bar ya jeshi twende uraiani, basi tulivokuwa uraiani maongezi yao ilibidi nishtuke nakuanza kujiuliza sasa wale FFU wanaopigaga watu wanatokea nchi gani! mbona leo nipo kambini kwao lakini wengi hawakubaliani na amri za hovyo hovyo? na nilipowauliza kwamba hamtowajibishwa kwakutokuwepo base wakasema wao hawana nyumba za jeshi kwa hiyo wanakaa uraiani hivyo kuwa standby sio lazima wapatikane muda huo labda kama wangekuwa wanakaa kambini.

  Baadae ndio tukapigiwa simu kumbe walikuwa wanakwenda kuwatuliza Chadema central polisi, basi askari wakasema hafadhari tulivyokimbia maana sisi wenyewe ni Chadema damu.
   
 2. Jiwejeusi

  Jiwejeusi JF-Expert Member

  #2
  Jun 5, 2011
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 755
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kwani chadema wameandamana pale central?
   
 3. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #3
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Elewa vizuri thread yangu, mimi nilikuwa mule FFU jana, na hata askari wakati wanakusanywa walikuwa hawajui wanapelekwa kwenye tukio gani na wapi, lakini baadae mmoja wa wale tuliokuwa nao ni mtu wa ofisi nyeti ndio akatuambia ameambiwa CHADEMA wamevamia Central police kwahiyo ndio wanakwenda kuwatanya. lakini ukweli unabaki pale pale Askari wengi wamechoka kutumiwa, wanachoambulia wao ni kuuziwa bia kwa shillingi 1000/=
   
 4. K

  Kipara kikubwa Member

  #4
  Jun 5, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 95
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kambi ya Ukonga FFU yote CHADEMA! Pia kambi nyingi za FFU nchi nzima ni CHADEMA na watawala hawaelewi kuwa Polisi wanatumia mbinu za kutengeneza migogoro nchini ili wananchi waendelee kuichukia CCM. Kwa kuwa wanaamni kuwa polisi wakifanya hivyo inawakomoa lakini migogoro katika nchi nyingi ilianza hivo. FFU ndi askari wasiothaminiwa kuliko wote. wanakaa vijumba vya ajabu ukiacha siku hizi kuanzisha kitengo cha tigo angalau nao wanavuta vuta kidogo mlungula mtaani lkn ukweli FFU wapo hoi na ndo wasiotaka kusikia CCM na serikali yake ila wanajua kuwa kila wakitembeza kichapo kuuwa raia wananchi wataendelea kuichukia serikali na ndo change itaonekana muhimu kwani wananchi wengi hudanganywa na kuendelea kuchagua hao hao sasa FFU nchi nzima wameapa kuwa hadi2015 watafanya unyama mkubwa kwa raia ili JK akimaliza madaraka aishie mitaani na damu za watanzania na hakuna atakaye mtamani kumwona huko na kwa kuwa mpenda sifa na kujiita mtu wa watu hii itakuwa fundisho. Pia wananchi watakuwa wana hasira na hawatapigia CCM kura na wakiiba watu mtaani kama Ivory Coast na wakiuwa safari ya the Hague...JK anajipa moyo lakini hali ni tete nchini na mengi yatatokea kuelekea 2015
   
 5. R

  Ray Isly Member

  #5
  Jun 5, 2011
  Joined: May 30, 2011
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Asa kama polisi ni mlevi atasema nini zaid ya hzo pumba?! Kumbe CDM Walevi mbona wakiambia madent wa chuo wamegoma wanakwenda?fikir kabla hujauza wazo!
   
 6. kishoreda

  kishoreda Senior Member

  #6
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mmmhh mkuu tusifike huko maana hatutakunywa bia za buku buku tena
   
 7. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #7
  Jun 5, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,855
  Likes Received: 629
  Trophy Points: 280
  Jamani naomba kujua kama humu jamvini tuna JF members yeyote ambaye ni Polisi/FFU.samahani lakini napita tu
   
 8. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #8
  Jun 5, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hata Mwema yumo, JK pia yumo, UWT wamo etc etc NDIYO JAMIIFORUMS BWANA WOTE TUMO TUNAPASHANA HAPA
   
 9. Gagurito

  Gagurito JF-Expert Member

  #9
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 5,610
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Chadema ni imani, kamwe hawawezi kupambana nayo! Askari ipo siku watawageuzia kibao wao!
   
 10. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #10
  Jun 5, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  umenena vema.......na habari ndio hiyo
   
 11. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #11
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,473
  Likes Received: 1,428
  Trophy Points: 280
  Hali tete viongozi hawajastuka, jeshi nalo ndio hivyo linaasi kidogokidogo
   
 12. Kwamex

  Kwamex JF-Expert Member

  #12
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 378
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Uchaguzi wa 2010 kituo cha amani shule ya msingi kilichopo Dodoma manispaa ambacho wapiga kura wake wengi ni askari FFU, polisi n.k CDM iliongoza. Askari kuna mambo wanafanya kwa sababu ni kazi ya utii ukiambiwa shika! Unashika.
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  [​IMG] Ray Isly

  Today 06:44 AM
  #5 [​IMG]
  [​IMG] Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]


  Join Date : 30th May 2011
  Posts : 24
  Thanks 3 Thanked 0 Times in 0 Posts

  Rep Power : 0
   
 14. F

  FJM JF-Expert Member

  #14
  Jun 5, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Mwema na wakubwa wachache sana (hawafiki hata 10) ndio wanaonekana kuegemea upande wa magogono. Hata Mwema mwenyewe is not very happy na mkuu wa kaya lakini ndio hivyo. The question is wataendelea na unafiki na manung'uniko mpaka lini kuhusu amri za hovyo wanazopewa na magogoni?
   
 15. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #15
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,277
  Trophy Points: 280
  Police Barrack Mwanza Laurence Masha alipata kura 3 tu.
   
 16. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #16
  Jun 5, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Sidhani maana wengi hawajasoma kiasi cha kuwa conversant na IT
   
 17. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #17
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  mimi hapa ni ffu, una shida gani?
   
 18. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #18
  Jun 5, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,497
  Likes Received: 19,912
  Trophy Points: 280
  inabidi wajivue gamba kama askari wa egypt
   
 19. engmtolera

  engmtolera Verified User

  #19
  Jun 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 5,081
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  kikawaida askari ni raia kama raia wengine,hivyo anauhuru wa kushabikia chama chochote akipendacho pasipo kuvunja sheria,taratibu na kanuni walizojiwekea makazini kwao

  Pia hata wao wanatambuwa ugumu wa maisha wanaoupitia hivyo ipo siku wakuu wa majeshi hususani jeshi la pilisi watajikuta wanashika bunduki wao wenyewe bila kuwepo wale wachini
   
 20. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #20
  Jun 5, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Great thinker! wamo polisi wengi zunguka college udsm, ifm ,uclas tia, cbe, udom ETC uone walivyojaa polisi wanaochukua degree ,hivi kutumia Jf kunahitaji formal education ? hata std seven wanajua computer sio specialist wa IT .No reaserch no right to speak .viva chadema.
   
Loading...