Polisi waanza uchunguzi mauaji m/kiti CHADEMA Usa river

Andengenye please anza na wale waliokuwa hawafanyi vikao vya mapato na matumizi kwa mfululizo wa miaka minne..hakika huwezi kukosa neno kati yao..pili kuna simu alipigiwa kamata wote walimpigia kuanizia siku hiyo na trace number za waliompigia pia tafuta hako ka chain huwezi kukosa chochote pia..yaani naamini wauwaji wanaweza patikana ndani ya cku mbili tu.
 
Kama mnaona polisi ni "wanafik" kwanini msifanye uchunguzi wa binafsi au kuita wataalam wa uchunguzi mnaoona nyinyi kuwa si wanafik?

Kuna sheria inayowakataza kufanya uchunguzi wa binafsi?

Ikiwa mnaweza kupoteza fedha chungu nzima kununulia ma fuso yaliyochakaa, na kulipia hausigeli wa hawara yake Slaa, Josephine Mashumbusi, kukaa hoteli ya kitalii na kulipwa posho ya zaidi ya laki mbili kwa siku, mnashindwa kulipia uchunguzi mbadala wa aliyekuwa mwenyekiti wenu? mnanchekesha! = courtesy FaizaFoxy.
 
Back
Top Bottom