KirilOriginal
JF-Expert Member
- Feb 13, 2012
- 2,161
- 1,147
Tumesahau ya Mwakyembe? Ulimboka hawezi sema hiyo siri maana kupona kwake ndo ananyamazishwa na cheo cha kumfunga mdomo!
kesi ya nyani anapelekewa ngedere.
[h=6]Polisi waahidi kulifanyia uchunguzi tukio la utekaji wa Dr. Stephen Ulimboka.[/h]
Mimi ni mwalimu mwenye degree ya sayansi. Niliajiliwa miaka mitano iliyopita lakini mshahara wangu hadi sasa ni tshs 720,000/=. sasa najiuliza huyu daktari kanizidi nini kielimu hadi apate mshahara wa tshs 990,000 kianzio na sasa anataka 3.5m jeuri hii anaitoa wapi? Nashangaa sana kwa nini watu wanashabikia wakati mishahara ya tanzania daktari ndiye anayeongoza kwa kulipwa mshahara mkubwa serikalini. Mimi naona mgomo huu si bure una hila nyuma yake. Keki hii ya taifa ni yetu sote kwa nini nyinyi mjione sawa na wakurugenzi waliosota miaka dahari kulipwa mshahara mnaodai?shame on you. sisi walala hoi mnatuumiza, nyinyi mnatibiwa hospitali za private, think of those who are paid below 170,000 pm waende wapi? Hizi ni siasa chafu ambazo hazifai kushabikiwa. Watu nakufa kwa hila hizi yuo must stop. I am fade up, hapa mhimbili hatupati huduma tuende wapi?
Serikali hii hii dhaifu ?????....changa la macho......hatudanganyiki!
Wanadhani watu wote ni wapumbavu!!! watakubali pumba zao!
[h=6]Polisi waahidi kulifanyia uchunguzi tukio la utekaji wa Dr. Stephen Ulimboka.
Taarifa zilizonifikia ni kwamba ACP Ahmed Msangi wa kanda maalum ya Dar es Salaam ataongoza kikosi cha wapelelezi kufanya Uchunguzi wa tukio hilo.
GET WELL SOON Dr. ULImboka.[/h]
Mimi ni mwalimu mwenye degree ya sayansi. Niliajiliwa miaka mitano iliyopita lakini mshahara wangu hadi sasa ni tshs 720,000/=. sasa najiuliza huyu daktari kanizidi nini kielimu hadi apate mshahara wa tshs 990,000 kianzio na sasa anataka 3.5m jeuri hii anaitoa wapi? Nashangaa sana kwa nini watu wanashabikia wakati mishahara ya tanzania daktari ndiye anayeongoza kwa kulipwa mshahara mkubwa serikalini. Mimi naona mgomo huu si bure una hila nyuma yake. Keki hii ya taifa ni yetu sote kwa nini nyinyi mjione sawa na wakurugenzi waliosota miaka dahari kulipwa mshahara mnaodai?shame on you. sisi walala hoi mnatuumiza, nyinyi mnatibiwa hospitali za private, think of those who are paid below 170,000 pm waende wapi? Hizi ni siasa chafu ambazo hazifai kushabikiwa. Watu nakufa kwa hila hizi yuo must stop. I am fade up, hapa mhimbili hatupati huduma tuende wapi?
Wanabodi.
Waziri John Nchimbi, akiongea na TBC amesema leo asubuhi kijana mmoja anaitwa Juma Mgaza, aliwasili kwenye kituo kidogo cha Buju na kutoa ripoti kuwa Dr Ulimboka ameokotwa barabarani.
Inasemakana jana akiwa kwenye pub yeye na rafiki yake walivamiwa na vijana watano. wakampandisha kwenye gari Escudo kuelekea barabara ya mwenge huku wanampiga baadae wakamtupa barabarani...
Waziri anasema serikali imestushwa na tukio ilo na wamelani tukio hilo na kuhaidi kuwa watahakikisha wanawakamata watuhumiwa wote wanaomba wananchi watoe ushirikiano.
SOURCE; TBC