Ni jambo la kuhuzunisha sana kusikia eti jesh la traffic wanajisifia kwa kuvunja record ya ukusanyaji wa mapato yanayotokana na makosa ya barabarani. Sasa hvi traffic wa tz wameanza kazi zao za msingi za kusimamia na kuelemisha kuhusu sheria barabarani. Wao muda wote wapo busy wakishindana kupiga fini kubwa. Ukiwa na kosa lolote kitu cha kwanza ni fini. Traffic hawapo tena kuelimisha wala kutoa onyo.
muda wote wapo busy na efd machine. Wanatanguliza efd machine mbele kama tai.
h
muda wote wapo busy na efd machine. Wanatanguliza efd machine mbele kama tai.
h