Ab-Titchaz
JF-Expert Member
- Jan 30, 2008
- 14,631
- 4,225
This is disgusting!
Last edited by a moderator:
eeeeeeeehe, wangevua vyupi nini . waafrika tunaheshimu sana utunda, lazima wafunikweehhhh..angeshikwa kwa bibi nao wangevua vyup vyao?
Rose1980, sikutegemea kuona Comment aina hii toka kwako kama mwanamke, imagine ungekuwa wewe unafanyiwa hivi na polisi kwa kosa lo lote lile. Msiba wa mwenzio.....linaweza kukutokea kama hili siku moja. I hope you will enjoy it!! Bye.
This is beyond the word of police. Ingekuwa nchi zinazojali huyo polisi aliyefanya upuuzi huo saa hizi angekuwa ameisha shitakiwa kwa sex abuse na wote waliokuwa nae kwenye arrest exercise wangesimamishwa kazi. Imagine mumewe na huyu dada anajisikiaje kwa kitendo hiki?.
Yaani hii ni big Scandal ambayo ingeondoka na Mkuu wa polisi nchi ingekuwa nchi zinazojali demokrasia. Ila kwa Africa this is normal, watu kuvutwa korodani na polisi au kulazimishwa kukalia misumari bila ya kuwa na nguo ni sehemu ya utendaji wa polisi wa afrika. What a shame!
wangeandamana kikawaida tu bila kuonyesha maungo yao....ila polisi wanauonevu sana,hell to them
That is UG kaka, hilo ni trela tu, i have been there, polisi wa kenya na uganda wanaogopwa kuliko ww RR unavoogopa ngoma, ila ipo siku haya yataisha tu, sad indeed!sio hata kushika....jamaa aliminya kabisa.....
Wamruhusu huyo mama alipize kwa ku-squeeze them his balls:A S angry: