Polisi wa Mgambo Wamnyang'anya Muuza Madafu, Madafu yake.

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,809
34,193
Polisi wam nyang'anya muuza madafu.jpg


kwa faida au mshahara wa shilingi ngapi mumnyang'anye mzee wa watu madafu yake?ana familia huyu,na mbaya zaidi hawaendi kuyatupa.Hiyo ni dhuluma kubwa.
 
Kwa kweli huu ni uonevu na unyanyasaji wa hali ya juu. Kwanza ikumbukwe hawa jamaa wanapouza madafu huwa wanachukua Yale mabaki/ gamba linalobaki mteja anapomaliza kula/kunywa dafu hivyo hawasababishi uchafuzi wa mazingira. Sasa sijui kwanini hawa mgambo wanawakamata watu walioamua kujitafutia kipato kwa njia halali?
 
Back
Top Bottom