Huna hoja!! Kwani aliwaalika hao wafuasi wake wajitokeze kumlaki?! Kuna mambo ya kutumia akili tu na jambo likapita.Huyo Mjaluo pia Muhuni ana haribu nchi, akubali yaishe, bahati yake yupo kenya angekuwa kwa mseven angekua hana Meno leo. Uwezi fanya nchi iwe na vurumai kila siku, japo sisapoti wakichofanya polisi kurusha mawe kwa raia na magari lakn pia Kenya inahtaji kufanya vitu vingine vya msingi sasa nyang'au mmoja tu anaondoa amani
Mimi nafikiri EAC yote ni mbovu na hakuna aliye salama, na wala wakumsuta mwenzie
Mleta mada Unasahau wa hapa kwetu mwaka jana walipiga mazoezi mpaka na MIZINGA ati kisa ukuta?! Africa hasa mashariki ni zaidi ya aibu. Uganda, Tz, Burundi, Rwanda, Kenya & S Sudan hakuna wa knyoshea mwenzie mikono!!
Kwa hili uko sahihi, EAC ni uwanja wa fujo.
Huyo Lisu alipayuka na kumuunga mkono Uhuru. Akirudi wafuasi wake watandikwe kweli kweli kama hao wakenya. Polisi wa bongo waige hiyo demokrasia ya Kenya. Hakuna kitu kitapungua hapo.Huna hoja!! Kwani aliwaalika hao wafuasi wake wajitokeze kumlaki?! Kuna mambo ya kutumia akili tu na jambo likapita.
Hapa kwetu napo siku ya kurudia Lissu hatakuwa haya haya . Watawala hawapendi kuona mtu mwingine ana aminika na wananchi !! Na hapo Ndipo ilipo shida, siyo kabila la mtu!!
Unaona akili ya kondoo hii ina tamani kunywa damu ya WaTz wenzie kisa wamepishana itikadi?! Huyu akiwa police hawezi piga risasi hewani atamlenga mwandamanaji !!!Huyo Lisu alipayuka na kumuunga mkono Uhuru. Akirudi wafuasi wake watandikwe kweli kweli kama hao wakenya. Polisi wa bongo waige hiyo demokrasia ya Kenya. Hakuna kitu kitapungua hapo.
Hamna cha kupishana itikadi wala nini, hao wafuasi wa Lisu wanyukwe haswa manaake Lisu alituasa tuige demokrasia ya Kenya. Sasa nimekosea wapi hapo wakati mimi nakumbusha tu. Wewe vipi?Unaona akili ya kondoo hii ina tamani kunywa damu ya WaTz wenzie kisa wamepishana itikadi?! Huyu akiwa police hawezi piga risasi hewani atamlenga mwandamanaji !!!