Polisi,Vyombo vya Dola ndivyo Walivyo?

eedoh05

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
632
234
Samahani,ashakumu si matusi. Vyombo vya Dola,hususani polisi,hulaumiwa kila siku kwa lawama zile zile. Je unajua ni kwa nini? Ngoja uelewe. Methodology inayotumika kuwa-train mbwa,nguruwe,panya,ndege,farasi,sama5ji ni ile ile inayotumika kuwa-train polisi,usalama wa taifa,wanajeshi. Hivyo unapotoa amri,"KAMATA!" jinsi mbwa ama nguruwe anavyoelewa na polisi,usalama wa taifa wanaelewa vivyo hivyo.
 
Tena ni zaidi ya mbwa. Kwa unyama walioufanya Geita kwa kumpiga kikongwe bila sababu.
 
Chondechonde, yaani Polisi mnawafananisha na mbwa.

sio mbaya, kwani asilimia kubwa ndivyo walivyo. kuna baadhi yao wanafanya kazi kiweledi zaidi, hukamata panapostahili kukamata. huonya panapostahili kuonya na huelekeza panapostahili kuonya. hata hivyo wenye uwezo huo ndani ya jeshi ni wachache, wengi wao ni wepesi wa kutii amri ya viongozi wao kwa heshima ya woga.

kundi kubwa la watu hawa, wapo FFU, mbapo wengi shule ni matatizo, nadharia ya jamii na jinai kwao is not reachable na kwao wanaona kutii amri ya mkubwa wao, watapendwa na hivyo kupendekezwa for promotion.
pia wengi wao huwa wanatokea JKT, wengi wamewahi kuvuta bangi.
 
Back
Top Bottom