Polisi tunaomba mtusaidie hawa wezi wa nguruwe wanatutia umasikini

Kuna wanatu ambao hadi sasa hawajulikani ni wakina nani na wanatoka wapi, hawa jamaa wanaiba nguruwe kwa kuwapa sumu ili wasipige kelele baadaye wanawachinja na kuondoka na nyama.

Huu wizi unakaribia mwezi wa tatu, wanachokifanya wakiiba leo kijiji kimoja wanahamia kesho Kijiji kingine kuanzia Chinangali, Manchali Hombolo, Buigir wanaiba hadi wenye mimba na wenye watoto.

Inatia hasira sana tunaomba msaada kwa vyombo vya ulinzi mtusaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
nguruwe anakutia hasira! acha waibe tuu naona hio ni dodoma mnaachia nguruwe kama mbuz bhana mpaka kwenye vyombo vyawasio wala.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Twende pole pole kwanza hayo maeneo ni sehemu gani ya Tz mbona unaandika kama wote tupo kijijini kwenu mkuu?
 
Nashukuru police dolia mlioianza Jana na mlifanikiwa kuikimbiza gari ya wezi japo hamkuikamata nadhani watapatikana tu na Jana tungewakamata ile gari tungechoma moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom