Polisi trafiki kuruhusu waendesha pikipiki kuvunja sheria mchana kweupe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi trafiki kuruhusu waendesha pikipiki kuvunja sheria mchana kweupe

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by pilau, Aug 25, 2012.

 1. p

  pilau JF-Expert Member

  #1
  Aug 25, 2012
  Joined: Aug 16, 2012
  Messages: 1,523
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kwa Dar imekuwa ni kawaida kwa waendesha pikipiki a.k.a.bodaboda kutokufuata maelekezo ya taa za barabarani, wao wanachomoka jinsi wanavyotaka, iwe taa zimeruhusu kwenda kwingine ama la mara na nyingi askari wanaoongoza magari wanakuwepo tusaidianane katika hili
   
Loading...