Ni kweli kiongozi, mambo haya ni mazito hayataki mzaha na kebehi yanaweza kutambuka na kuingia nchini kwetu..Naona wengi hapa wanajadili ubini au utaifa wa mshukiwa ugaidi. Tunakwepa kujadili how vulnurable we are na shughuli za kaskazi ya Mozambique.
Cabo Delgado imehifadhi balaa kubwa kwa Malawi na Tanzania endapo tutayachukulia haya mambo kiwepesi.