Polisi Tanzania walalamikia UDUNI wa makazi yao

full suti za mabati

wana-patisheni nyumba kwa kutumia mashuka ili kuzisitiri familia.

Nenda kota za oysterbay. jifanye mgeni. ingia ndani uone namna baba na binti yake wanavyopishana kwenye ukuta wa shuka uku binti na khanga moja, baba na boksa. aibu!

wakiamka wanaenda kuuwa raia, badala ya kuongoza harakati za kupinga utawala dhalimu wa kifisadi wa serikali ya Tanzania chini ya CCM

i hate them.
 
Ni kweli polisi wamebanana katika vijumba vibovu mithili ya panya katika shimo! Lakini cha ajabu wanawapiga mabomu hata watetezi wao! Kwa ufinyu wa mang'amuzi na elimu duni, hata hawana habari kwamba mapambano dhidi ya ufisadi ni kwa ajili ya maslahi yao pia. Waendelee tu kuishi huko hadi watakapopata akili!

WAO askari wanapaswa wajiulize Mbona mzee wa Inteligensia IGP MWEMA, na Ma RPC na Makamishna wa Jeshi la Polisi wao wanakaa nyumba nzuri? Na hata siku moja hawaja wahi kulalamika hadharani kuwa makazi ya askari wao ni mabovu? Ndio watie AKILI kuwa wao ni kama CONDOM tu tendo likikamilika wanatupwa tena mtumiaji anaona hata kinyaa kuishika.
WAKAE HUMO HUMO kwenye MBAVU ZA MBWA hadi waelewe ni kwanini TUNAITAJI mabadiliko ya kweli TANZANIA
 
Hatuna mapolisi tanzania,hao wanaolalamika ni wa nchi gani?

Hata mimi nashangaa! maana nnavyojua TZ hakuna mapolisi. Mtu waweza kufanya chochote na wakati wowote unapotaka. Kama unataka kuua haya we endelea , kama unataka kuvamia kiwanja haya twende, kama unataka kuendesha umelewa haya ruksa, kama unataka kufunga mtaa na kupora mchana kutwa haiiiyaaaaaaa etc etc
 
mi nashangaa sana hao polisi, hawana hata shukrani. hizo nyumba ni zaidi fadhila kwao kwani wanastahili kulala misituni, sisi nyumbani hatujajengea mbwa nyumba, mpaka sasa sijaona wanacholalamika
 
Kwani walipoamua kuwa polisi walitegemea kuishi pazuri? Kwani nini maana ya kambi? Ukitaka kuishi pazuri toka kambini na ujenge nyumba yako tuone kama itakua nzuri. Na hakuna haja ya kuongeza mshahara waendelee kulinda amani kwa kuua wenzao. Mtabaki kwenye viota mpaka mnakufa na mtalala na mabinti zenu kwa kuweka pazia mpaka basi.
 
na waangukiwe tu na hivyo vibanda vyao wanatumikishwa na wanasiasa wanaokaa uzunguni kazi kuua maskini wenzao tu shame
 
Back
Top Bottom