Polisi Tanzania na Egypt Hakuna Tofauti. Hawajui Hata Haki Zao. Watakuteteaje Wewe? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi Tanzania na Egypt Hakuna Tofauti. Hawajui Hata Haki Zao. Watakuteteaje Wewe?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by niweze, Feb 5, 2011.

 1. n

  niweze JF-Expert Member

  #1
  Feb 5, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 1,008
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  [​IMG]
  Ukiangalia Egypt leo jeshi la polisi limepotea mitaani na wamekuja na plain cloth kuwauwa protesters Tahrir square. Polisi wazi wanataka Mubarak aendelee kukaa madarakani, sijui nianzie wapi...Wanajua unyama Mubarak kawafanyia Wamisri? Au ni part of brainwash kama iliopo Tanzania? Tanzania tunaona wazi jeshi la polisi limekuwa kama tawi la CCM na hata siku moja hawawezi wakaona kuwaua au kuwapiga wanawake na vijana kama wanaua Taifa lao wao wenyewe. Ukweli ni kwamba jeshi la polisi na FFU limejaa wananchi wasiosoma ngazi zote za chini na wengi wao inawezekana walikimbia shule, hivyo ni rahisi kuwa brainwash. All these ni abuse of power and human rights in highest level. Kwanini kuandamana kwa amani kuna waumiza madikteta Africa? Wanafikiri kuuwa ni solution, mbona wanaozaliwa watawachukia zaidi. JF tujadili jinsi ya kuwaelimisha hawa wananchi, watoke utumwani, Tanzania ni ya kwao pia...
   
Loading...