Polisi Tanzania, kwani hamuwezi kufanya patrol kwa kutumia "Unmanned Aerial Vehicles" almaarufu kama "Drones" zinazouzwa kwa bei rahisi?

tatzo serikal yetu imeisahau sana hii sector ya ulinzi hasa polisi. Kwa dunia ya sasa ilifaa kila kituo cha polisi kiwe na computer walau moja ambayo ipo online mda wote na kifaa cha kuchukua fingerprints.
Changamoto sana mkuu...
 
Tatizo serikal yetu imeisahau sana hii sector ya ulinzi hasa polisi. Kwa dunia ya sasa ilifaa kila kituo cha polisi kiwe na computer walau moja ambayo ipo online mda wote na kifaa cha kuchukua fingerprints. Hii itaweza kusaidia upatikanaji wa informations za mtu kiurahisi unapoenda kumripoti au kiripoti kituoni.
Ninadhani ofisi zote za Polisi ngazi ya wilaya na mkoa zina computers na hizo fingerprinting machines.
 
Mawazo yako ni mazuri ila Police hawajiwezi .vifaa vya msingi vya kazi hawana. Ofisi zipo local.unakuta police anaenda ofisi ya jirani kuomba kupiga photocopy. Kwa hali hiyo drone zinatoka wapi?
Tunaanza na drones chache kwa Dar pekee kama majaribio
 
Kwa dunia hii ilitakiwa ata traffic asisimame barabaran kila mda kuangalia mwendo wa mabasi. Ilifaa kila bas la abiria lifungiwe vifaa maalum vyenye mfumo wa GPS(na kiwe imara kiasi cha kutoweza kuchezewa na mtu) ya kuangalia mwendo sio kudhibiti mwendo na vinakuwa na control no ya mmiliki wa gari kwamba dreva akizidisha speed inayotakiwa fain inakatwa huko huko juu kwa juu kwa mmiliki wa chombo Ili kupunguza mazingira ya rushwa barabaran
 
Sasa kule visiwani utalinganisha na huku bara mkuu? Wapi pakubwa kuzidi pengine? Huko zenji kuna sehemu hazifikiki kwa patrol za gari? Nazo zina CCTV?...

Mkuu Uhalifu unatokea sehemu yeyote ,Mbona Chicago jiji zima lina camera? Ni maamuzi tu ya serikali ,ila CCTV ni muhimu sana kwa serikali yetu kuwekeza ,waanze na Dar ,Arusha ,Mwanza ,Dodoma na Mbeya kama pilot.

CC.jpg






You see them blue lights in the air, cameras everywhere
We don't give a fvck, we still tipping in Chicago.
 
Doria ya askari polisi ya magari inatumika kama chanzo cha pesa cha baadhi ya maaskari.
Doria inakuwa ya magari kwa 92% kisha 8% inafanywa kwa drones kwa maana hata hivi sasa kuna sehemu hazifikiki (uswahilini) kutokana na ujenzi holela...
 
Back
Top Bottom