Polisi Tanzania, kwani hamuwezi kufanya patrol kwa kutumia "Unmanned Aerial Vehicles" almaarufu kama "Drones" zinazouzwa kwa bei rahisi?

tatzo sio rushwa tu. Matraffick wa bongo wanamtindo wa kuchelewesha abiria.
Unakuta traffic anasimamishaa bas kwa kisingizio cha mwendo ili bas la kampun tofaut la alikokamata ndio lipite (litangulie )
Hii sasa kali
 
Back
Top Bottom