Polisi sasa wataka mazungumzo na Wana Arusha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Polisi sasa wataka mazungumzo na Wana Arusha.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mchonga, Jan 9, 2011.

 1. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #1
  Jan 9, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  [​IMG]
   
 2. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #2
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,788
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  katuni nzuri sana!vile vile ni ukumbusho wa NOT YET UHURU IN TANZANIA!
   
 3. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #3
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  na kweli, kuhusu nini? mauaji ya raia? majeruhi? kujiuzulu kwa wahusika?
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Arusha hatuna jeshi la polisi, tuna polisi wa ccm.

   
 5. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #5
  Jan 9, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Ndio hayo wayaongeleee maana swala la Mayor halikuitaji nguvu ya police

   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  Jan 9, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Hili jeshi la polisi libinafsishwe tu. Labda wana Arusha tutaweza kurudisha imani kwao.
   
 7. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #7
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kabla ya mazungumzo polisi waombe radhi na viongozi wa jeshi hilo waliamuru au kuruhusu mauaji arusha wajiuzulu! Mazungumzo yatafanyika na viongozi wapya watakaoteuliwa!

  Walichofanya ni aibu na fedheha kwa wapenda amani!
   
 8. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #8
  Jan 9, 2011
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Sijui mimi ndiye sielewi, yaani wameua sasa wanataka kuongea. Hatuhitaji mazungumzo, tunahitaji utekelezaji wa haki na kujiuzulu kwa wahusika. hayo yakifanyika mauaji hayatatokea tena na hatutahitaji mazungumzo kwani tutakuwa na uhakika wa amani
   
 9. M

  MsandoAlberto JF-Expert Member

  #9
  Jan 9, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,019
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Gurudumu, ulimsikia Shamsi Vuai akisema "sasa wakuu wanajua kuna mgogoro Arusha"!! Baada ya watu kufa na kupigwa ndio wamejua kuna mgogoro! Wakati Tendwa na IGP wanaambiwa na kuahidi kulifanyia kazi walikuwa hawaamini kuna mgogogoro!!

  Hawa ndio viongozi wetu! Hawaamini kuna umasikini mpaka wote tujiuze sijui? Hawaamini elimu yetu duni mpaka graduates wote wawe wanaboronga kila wanapopewa kazi na kulisababishia taifa hasara kama wansheria wa Tanesco!!

  Lazima tutafute ufumbuzi wa tatizo hili la viongozi kutokuwa responsible kwa uzembe wao! Hatuwezi kuendelea kuwasubiri viongozi waliowateua wawajibishe! Haitatokea! Chenge, Hosea na wengine wengi hawajawajibishwa! Katika hii nchi kuwajibika sio utamaduni!
   
 10. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #10
  Jan 9, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  EL aliwaonya mwamzoni na akawambia viongozi wa juu CCM na CHADEMA kuwa kwatakiwa kuwepo mazungumzo katika hili kwani uchaguzi uliopita na kushindwa ka batilda pale Jimboni arusha nasikia aliliona lile joto la pale na ndio maana aliwaambia viongozi wa ju CCM kukaa kitako na CDM. makamba akapinga sana hilo sasa sijui anafurahia watu wameuwawa?? au anataka kuilaaumu CDM. kwani hakukuwa na tatizo la ki intelligencer wala nini. CCM wako smart sana kwa kuzusha mambo ni mabingwa wa fitna wanajua nini walichokuwa wakikifanya wanapeleka habari za uzushi kwa vyombo vya dolla na tambwe hiza hilo analijua fika kuwa CCM ni wataalamu wa propaganda kweli

   
 11. JoJiPoJi

  JoJiPoJi JF-Expert Member

  #11
  Jan 9, 2011
  Joined: Aug 8, 2009
  Messages: 2,471
  Likes Received: 1,420
  Trophy Points: 280
  Kazi ipo!!
   
 12. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #12
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  It is forbidden to kill; therefore all murderers are punished unless they kill in large numbers and to the sound of trumpets. Voltaire
   
 13. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #13
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Hao ni CCM chombo cha dola hakina mambo hayo nadhani juzi ulisikia kamanda Andengenye akiweka wazi kuwa athari ya maandamo yale ingekuwa kubwa kama yasingezuiliwa!!!!! Hiyo ilikuwa ni propaganda ili kuwahadaa wananchi kilichofanyika kilikuwa sahihi. Vyombo vya dola ni vyombo vya kutumikia utawala uliopo hata CDM wakiingia itakuwa ni hivyo hawa tunaowaona leo wabaya wataibuka kuwa kidedea kwa kutetea utawala uliopo hata kama ni dhalimu.
   
 14. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #14
  Jan 9, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Heroism on command, senseless violence, and all the loathsome nonsense that goes by the name of patriotism - how passionately I hate them!
   
 15. WIRELESS

  WIRELESS Senior Member

  #15
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 106
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Extremely hypocrites
   
 16. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #16
  Jan 10, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kama polisi ni zaidi hapa nchini sasa tutajuana huku uraiani.

  Endapo polisi kweli wanataka mazungumzo na wananchi juu ya unyama wanaotutendea kila leo basi kwanza wahakikishe wale marehemu wetu waliogeuka wa baridi kwenye mifriji nao wanahudhuria hicho kikao

  Laa sivyo polisi na ndugu zao wote hatutawapa ushirikiano tena huku uraiani popote pale, hatutafanya biashara yoyote na nyie na hata ukilazimisha lifti kwenye gari yangu kuna uwezekano mkubwa nikabamiza gari langu mwenyewe kwa upande uliko ili ufe sawa na raia wenzetu mliowaua kiunyama Arusha.

  Tangu sasa polisi hata kama ni ndugu yangu toka nitoke tusijuane na mtoto wangu yeyote atakayejiunga na jeshi hili alaaniwe na afe mara moja hata kabla hajamaliza mafunzo hayo.
   
 17. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #17
  Jan 10, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Du! Balaa!
   
Loading...