Unaona sasa jinsi ulivyo ignorant! Yaani kwa akili yako unadhani Democrats ndio savior wa watu weusi? Kweli umeula wa chuya kama hivyo ndivyo unavyodhani. Kwa taarifa yako hao Democraps wanawatumia nyinyi kama political pawns tu. They don't even fight for your vote coz they know they have it on lock....90% of you vote democratic. Pathetic
...another Rushbo talking point,tumezoea hizo nyimbo!