Polisi Rukwa kuandamana unyanyasaji wa watoto na ubakaji!

Amiliki

JF-Expert Member
May 6, 2011
2,085
1,004
Ndugu Wanajamvi, Ule msemo maarufu wa Wanaijeria "WONDERS SHALL NEVER END" ndio unaoonekana kujidhihirisha hapa katika Halmashauri ya mji wa Sumbawanga, mkoani Rukwa.

Nipo hapa mtaa maarufu kama DOUBLE ROAD! gari ya matangazo ya Polisi inapita ndani yake akiwamo polisi wa kike na kipaza sauti akiwasihi wananchi wajitokeze kesho jumamosi tarehe saba katika maandamano ya kupinga unyanyasaji wa watoto na UBAKAJI!

MY TAKE:
Hawa polisi badala ya kugeuka na kuwa Waigizaji wangeanza kwanza na kumkamata Alhaj Kapuya aliyekabaka kabinti kabichi, na kama haitoshi anamtishia maisha. Hii ni zaidi ya UNYANYASAJI. Polisi badala ya kukamata wanatuambia tuandamane? Hivi kweli hapa ndipo tulipofika kweli?

Nawasilisha.
 
Mkuu wewe fanya mpango uhudhurie hayo maandamano na pia fanya mpango tengeneza mabango yasiyopungua manne yenye ujumbe juu ya ubakaji wa kapuya yawepo mstari wa mbele kwenye hayo maandamano
 
wameonyesha uzalendo na taifa hili kwa mara ya kwanza SI VIBAYA MSIMAMIA SHERIA NA AMANI AKIHUBIRI AMANI-kwani kinga ni bora kuliko tiba(kushurutisha sheria) ingawa kwa kapuya wamegwaya
 
Back
Top Bottom