Polisi ondoeni haraka neno zebra crossing iteni pedesterian crossing sisi Sio zebra

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,908
51,904
Polisi wamekuwa wakikamata madereva wakivuka kile kinachoitwa zebra crossing kuwa umepita bila kusimama eneo la zebra crossing.Zebra Ni pundamilia .

Sasa mtu hujaona pundamilia ukapitiliza unashikiwa kosa gani? Hilo neno lilitolewa na wazungu kwa kutuona sisi waafrika Ni Kama pundamilia tu.

Kwao wanaita pedesterian crossing yaani kivuko Cha waendao.kwa miguu.Sisi tumebaki kuitana zebra Kamanda Sirro waambie Askari wako kutukana watu kuwambia madereva wametenda kosa zebra crossing Sio sawa.

Wale wanaovuka pale Ni binadamu Sio pundamilia
 
Zebra crossing haijaitwa kwa sababu watu ni punda, bali ni muonekano wa alama husika kuakisi mistari ilioko mwilini mwa pundamilia kwamba ni mithili ya pundamilia.

Sote tunafahamu pundamilia ana pattern ya mistari myeupe na myeusi halikadhalika eneo la kivuko liko na mistari myeupe na myeusi.
 
Polisi hawahusiki kabisa hapo wao wanasimamia sheria tu

Na kuitwa Zebra crossing haihusiani na anayetumia au anayevuka kafanana na pundamilia

Kama shida yako ni wazungu ni bora ungekuja na pendekezo lenye jina la kiswahili na siyo pedestrian crossing bado utakua umewahusudu hao wazungu
 
Polisi wamekuwa wakikamata madereva wakivuka kile kinachoitwa zebra crossing kuwa umepita bila kusimama eneo la zebra crossing.Zebra Ni pundamilia .

Sasa mtu hujaona pundamilia ukapitiliza unashikiwa kosa gani? Hilo neno lilitolewa na wazungu kwa kutuona sisi waafrika Ni Kama pundamilia tu.

Kwao wanaita pedesterian crossing yaani kivuko Cha waendao.kwa miguu.Sisi tumebaki kuitana zebra Kamanda Sirro waambie Askari wako kutukana watu kuwambia madereva wametenda kosa zebra crossing Sio sawa.

Wale wanaovuka pale Ni binadamu Sio pundamilia
Nilidhani mm peke yangu ndo sijui kingereza kwani hapo wanamaanisha mnyama au black and white color jamaani msaada
 
Zebra crossing haijaitwa kwa sababu watu ni punda, bali ni muonekano wa alama husika kuakisi mistari ilioko mwilini mwa pundamilia kwamba ni mithili ya pundamilia.

Sote tunafahamu pundamilia ana pattern ya mistari myeupe na myeusi halikadhalika eneo la kivuko liko na mistari myeupe na myeusi.
Are you a Zebra?
 
Polisi wamekuwa wakikamata madereva wakivuka kile kinachoitwa zebra crossing kuwa umepita bila kusimama eneo la zebra crossing.Zebra Ni pundamilia .

Sasa mtu hujaona pundamilia ukapitiliza unashikiwa kosa gani? Hilo neno lilitolewa na wazungu kwa kutuona sisi waafrika Ni Kama pundamilia tu.

Kwao wanaita pedesterian crossing yaani kivuko Cha waendao.kwa miguu.Sisi tumebaki kuitana zebra Kamanda Sirro waambie Askari wako kutukana watu kuwambia madereva wametenda kosa zebra crossing Sio sawa.

Wale wanaovuka pale Ni binadamu Sio pundamilia
Great thinker!
 
Na kuitwa Zebra crossing haihusiani na anayetumia au anayevuka kafanana na pundamilia
I think you are one of the zebras exclude me.Sitaki paitwe zebra crossing for whatever reason
 
You have been excluded already the giant Zebra

Pole sana kwa kuchukia hilo neno mkuu kumbe ni chuki zako tu pole
 
Polisi wamekuwa wakikamata madereva wakivuka kile kinachoitwa zebra crossing kuwa umepita bila kusimama eneo la zebra crossing.Zebra Ni pundamilia .

Sasa mtu hujaona pundamilia ukapitiliza unashikiwa kosa gani? Hilo neno lilitolewa na wazungu kwa kutuona sisi waafrika Ni Kama pundamilia tu.

Kwao wanaita pedesterian crossing yaani kivuko Cha waendao.kwa miguu.Sisi tumebaki kuitana zebra Kamanda Sirro waambie Askari wako kutukana watu kuwambia madereva wametenda kosa zebra crossing Sio sawa.

Wale wanaovuka pale Ni binadamu Sio pundamilia

Awali ya yote nikupe pole sana kwa kuwa na uelewa mdogo, lakini pia nikupe pole kwa kukurupuka kuandika kitu bila ya kufanya utafiti.

1. Kwamba, unataka polisi waondoe hiyo phrase ya 'zebra-crossing' badala yake iitwe 'pedestrian-crossing'. Iko hivi, polisi hawhusiki na hilo, wao ni wasimamiaji wa sheria tu. Nakushauri uende wizara husika ili wao wafanye mchakato wa kufanya hayo unayotaka.

2. Kwamba, wazungu walitumia neno hilo kwa kutufananisha na pundamilia, hiyo si kweli. Zebra-crossing, ni synonym ya 'pedestrian-crossing' vilevile ni synonym ya 'pelican-crossing'. Kwa hiyo si kweli kwamba wazungu walitufananisha na pundamilia ndiyo maana wakaamua iwe hivyo. Phrase hiyo 'zebra-crossing' imeitwa hivyo kutokana na mfanano kwamba hata pundamilia naye ana alama kama ilivyo hizo alama. Duniani kote wanatumia phrase hiyo, ni wewe tu kujifungia ndani ya Danganyika, wakati siku hizi kuna njia rahisi ya kupata elimu.

Kwa kumalizia, napenda kukushauri uwe unafanya utafiti wa jambo kabla ya kulifanyia kazi, vinginevyo you'll always become a figure of fun kama hivi. Yaani umeandika upuuzi mtupu, na usikute hapo kwenu wewe ndiye unayetegemewa kwa kuwa bright. Pole sana.
 
Akili za lumumba huwa zinanishangaza sana, ndio maana tangu enzi za nape had Ieo hawajapandishiwa posho miaka yote ni hiyo 7000/=
 
Think tanker wa CCM huyo na ndio washauri wa mzee baba hao,hahah.
 
Back
Top Bottom