POLISI NAO WEZI TU

Candela

Member
Aug 12, 2021
77
150
Waa na jamii leo naleta mada ambayo ni kero yangu na nina imani wapo wengine.
Ni kuhusu polisi na vyombo vya moto vya raia, gari na pikipiki.
Inapotokea umepata ajali au tatizo mfano umegonga na gari ikalazimika kubaki kituo cha polisi, basi kadri inavyoo kaa pale ninageuzwa skrepa. Ukifata gari baada ya kesi , say 2 weeks unakuta redio hamna, AC imebadilishwa, indicator hazipo yaani mradi vururu, ukiwauliza wanakuwa wakali kama pilipili. Hivi gari ipo kituoni mtu wa nje anawezaje kuiba redio. kuna mtu aliwahi kunibia alikuta gear box mbovu na imelegea haijakaza vizuri. Kwa mwendo huu tutaanza kurogana tuaafande, niwaambie kabisa. umeiba changu nakupa visa unaenda dampo au nakutoa kikojoleo. Na usiseme eti Mungu yupo, yupo ila sio kwa ajili yako we uibe cha mtu afu utegemee Mungu. Shwaini nyie. Natoa mtu nyeti kwa kweli ataamka hazioni usawa huu tuanze kununulishana redio na ac ya gari wakati ngoma imekuna kituoni iko mayai kabisa.
Mtanisamehe ndugu wa wahusika.
 
mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
2,924
2,000
Polisi ni wezi Sana wale jamaa ,kuna jamaa alienda kuripoti polisi kaibiwa TV akawa anamuhisi mwizi wake akawaambia Polisi.
Polisi kweli wakamkamata yule jamaa wakambana hadi akaenda onyesha TV ilipo.
Polisi baada ya kuipata TV ya mshkaji nao wakaiiba , hawakumpa jamaa TV yake , jamaa alifatilia had I kwa mkuu wa kituo lakini wapi
 
innocentkirumbuyo

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
3,829
2,000
Polisi ni wezi Sana wale jamaa ,kuna jamaa alienda kuripoti polisi kaibiwa TV akawa anamuhisi mwizi wake akawaambia Polisi.
Polisi kweli wakamkamata yule jamaa wakambana hadi akaenda onyesha TV ilipo.
Polisi baada ya kuipata TV ya mshkaji nao wakaiiba , hawakumpa jamaa TV yake , jamaa alifatilia had I kwa mkuu wa kituo lakini wapi
Mke wangu aliibiwa simu bahati nzuri tukamkamata mwizi tumepeleka kituoni akakiri kabisa niliiba kweli na simu bado ninayo nikamuambia polisi basi tufate simu yangu polisi ataki nikaona nisilazimishe sana

Nikaondoka zangu kesho yake narudi kituoni naambiwa simu ilifatwa kweli eti imepotea kituoni tena
 
kasigazi kalungi

JF-Expert Member
Dec 22, 2013
3,947
2,000
Rais akiendelea kulegea kwa hiki chombo kisa wanajipendekeza kwake kumlinda dhidi ya wapinzani watamuharibia sana.
 
mnengene

JF-Expert Member
Nov 21, 2011
2,924
2,000
Waa na jamii leo naleta mada ambayo ni kero yangu na nina imani wapo wengine.
Ni kuhusu polisi na vyombo vya moto vya raia, gari na pikipiki.
Inapotokea umepata ajali au tatizo mfano umegonga na gari ikalazimika kubaki kituo cha polisi, basi kadri inavyoo kaa pale ninageuzwa skrepa. Ukifata gari baada ya kesi , say 2 weeks unakuta redio hamna, AC imebadilishwa, indicator hazipo yaani mradi vururu, ukiwauliza wanakuwa wakali kama pilipili. Hivi gari ipo kituoni mtu wa nje anawezaje kuiba redio. kuna mtu aliwahi kunibia alikuta gear box mbovu na imelegea haijakaza vizuri. Kwa mwendo huu tutaanza kurogana tuaafande, niwaambie kabisa. umeiba changu nakupa visa unaenda dampo au nakutoa kikojoleo. Na usiseme eti Mungu yupo, yupo ila sio kwa ajili yako we uibe cha mtu afu utegemee Mungu. Shwaini nyie. Natoa mtu nyeti kwa kweli ataamka hazioni usawa huu tuanze kununulishana redio na ac ya gari wakati ngoma imekuna kituoni iko mayai kabisa.
Mtanisamehe ndugu wa wahusika.

Polisi jirekebisheni malalamiko zidi yenu yamezidi Sana.
Halafu yenyewe yanajidai eti Bila sisi nyie msingelala usingizi utafikiria kweli.
Naamini kabisa yule Hamza kuna kitu kikubwa sana mlimzulumu
 
Pacbig

JF-Expert Member
Oct 15, 2017
799
1,000
Ukiwa una pesa nyingi hasa nyakati za Usiku.Upande mmoja kuna vibaka upande mwingine kuna polisi.

Bora ukimbilie upande wa vibaka wanaweza wakakuachia hata uhai. Hao wengine wanapoteza na ushahidi kabisa.

Polisi wema ni wawili Kati ya mia.
 
nkumbison

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,930
2,000
Itungwe sheria polisi wasikae na vizibiti. Wakikukamata ubaoni ukiwa na hela ndio basi tena na zikiwa nyingi sana wanakupoteza
 
mawardat

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
5,499
2,000
Polisi ni wezi Sana wale jamaa ,kuna jamaa alienda kuripoti polisi kaibiwa TV akawa anamuhisi mwizi wake akawaambia Polisi.
Polisi kweli wakamkamata yule jamaa wakambana hadi akaenda onyesha TV ilipo.
Polisi baada ya kuipata TV ya mshkaji nao wakaiiba , hawakumpa jamaa TV yake , jamaa alifatilia had I kwa mkuu wa kituo lakini wapi
Kuanzia mkuu wao hadi hizi chenga,wote ni wezi
 
mawardat

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
5,499
2,000
Mke wangu aliibiwa simu bahati nzuri tukamkamata mwizi tumepeleka kituoni akakiri kabisa niliiba kweli na simu bado ninayo nikamuambia polisi basi tufate simu yangu polisi ataki nikaona nisilazimishe sana

Nikaondoka zangu kesho yake narudi kituoni naambiwa simu ilifatwa kweli eti imepotea kituoni tena
 
Candela

Member
Aug 12, 2021
77
150
Sasa si bora we ulikamata mwizi. Mi jamaa yangu aliibiwa simu mtaani. akaanza kuitrack na polisi dakika ya mwisho anaitwa kituoni anapewa simu anaambiwa mwizi ameipeleka. anauliza yuko wapi anaambiwa we ushapata simu mwizi wa nn tena.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom