polisi na viongozi mtalipa kwa damu ya watanzania mnayomwaga. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

polisi na viongozi mtalipa kwa damu ya watanzania mnayomwaga.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by politiki, Jul 19, 2012.

 1. p

  politiki JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,356
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  ningependa kuwatahadharisha wananchi kutunza kumbukumbu zote za mauhaji yanayofanywa na polisi kwani watalipa kwa kila damu wanayomwaga bila makosa. watu wanaopigwa risasi kwenye maandamano kama ilivyptokea kwa mubarak wa misri viongozi wote waliousika watajibu. polisi ujumbe wangu kwenu mkae mkijua kuwa viongozi hawa wanantumia tu na siku ya hukumu ikifika wataruka futi mia lakini kwa kuwa mnajua sheria na mmeshatahadharishwa vya kutosha na nyie kuaidi hamtakuwa na excuse kwani mlivunja sheria kwa makusudi.
   
 2. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  pia na mabosi wao. kwa mwenendo huu naiona mahakama ya uhalifu ya UN ikifanya kazi Tanzania, viongozi jiandaeni kushtakiwa kwa uhalifu dhidi ya ubinadam kuanzia Rais, mpaka aksri wa chini na maafisa wa Usalama wa Taifa. Kilio cha wengi hufika kwa Mungu
   
Loading...