Polisi na ukatili wa kutisha Igunga na Dar

Mulangila Mukuru

JF-Expert Member
Feb 24, 2010
1,945
724
Taarifa ya habari ya ITV leo jioni imeonyesha ukatili mkubwa unaofanywa na polisi kwa raia pale walipowaonyesha askari wa kutuliza ghasia wakiwa zaidi ya wanane wakimdhibiti mwanamke aliyekuwa hana hata silaha ikiwemo kumbeba na kumtupia kwenye gari kama kiroba,kama hiyo haitoshi wakaonyesha askari wakimdhibiti mzee aliyekuwa miongoni mwa wastaaafu wa jumuiya ya Afrika Mashariki walioandamana kufuatia kutolipwa mafao yao.
jamani polisi na nyie ni watanzania mnatuumiza sana.
 
Hili jeshi linahitaji kulekebishwa mfumo wake b'se kila kukicha hawaishi kulalamikiwa juu ya uvunjivu wa haki za binadamu, Cha ajabu watawala wamewafumbia macho huku raia wakisulubika!
 
CCM ni wakatili na Majangili. Usitegemee mazuri kutoka polisi wa serikali ya CCM
 
Hili jeshi linahitaji kulekebishwa mfumo wake b'se kila kukicha hawaishi kulalamikiwa juu ya uvunjivu wa haki za binadamu, Cha ajabu watawala wamewafumbia macho huku raia wakisulubika!
 
CCM hivi karibuni watakabidhi nchi (2015) hayo madhambi yao na vibaraka wao polisi wakiwemo, tume ya uchaguzi nk kesi zao zitafufuliwa upya na watashikishwa adabu.
 
Nashangaa ya mkuu wa wilaya kudai kadhalilishwa kama kuna udhalilishaji ndo huu imeniuma sana
 
Cha ajabu hawa polisi tunaishi nao mtaani..........na ndo wa kwanza kujenga mazingira ya chuki na wananchi..mwanamke au babu ana vurugu gani mpaka akabwe na FFU 8? siku zenu zinahesabika
 
Taarifa ya habari ya ITV leo jioni imeonyesha ukatili mkubwa unaofanywa na polisi kwa raia pale walipowaonyesha askari wa kutuliza ghasia wakiwa zaidi ya wanane wakimdhibiti mwanamke aliyekuwa hana hata silaha ikiwemo kumbeba na kumtupia kwenye gari kama kiroba,kama hiyo haitoshi wakaonyesha askari wakimdhibiti mzee aliyekuwa miongoni mwa wastaaafu wa jumuiya ya Afrika Mashariki walioandamana kufuatia kutolipwa mafao yao.
jamani polisi na nyie ni watanzania mnatuumiza sana.
Haiingii akilini jinsi walivyombeba na kumtupa yule yule mama kwenye lile gari. Hivi hawa jamaa wangejisikiaje kama mama zao wangefanyiwa hivi....! Wale wazee wa eac madai yao ni ya kweli kabisa ila serikali inawaonea tu na wenyewe wajichanganya kwa kuwa kwenye makundi yanayotetewa na ma lawyers tofauti!
 
kwanini siku moja tusifanye maandamano ya amanii kulilaani jeshi la polisi kwa ukatili wanaoufanya? hebu wanaharakati tusaidieni kuanzisha hii move
 
Taarifa ya habari ya ITV leo jioni imeonyesha ukatili mkubwa unaofanywa na polisi kwa raia pale walipowaonyesha askari wa kutuliza ghasia wakiwa zaidi ya wanane wakimdhibiti mwanamke aliyekuwa hana hata silaha ikiwemo kumbeba na kumtupia kwenye gari kama kiroba,kama hiyo haitoshi wakaonyesha askari wakimdhibiti mzee aliyekuwa miongoni mwa wastaaafu wa jumuiya ya Afrika Mashariki walioandamana kufuatia kutolipwa mafao yao.
jamani polisi na nyie ni watanzania mnatuumiza sana.

Ni ushenzi wa serikali yetu' mwanamke anatakiwa akamatwe na mwanamke mwenzake, inamaana hakuna FFU wa kike?! Halafu kwanini wamtupie kama mzigo? Kwanin wampige mzee?! Pumbafu zao kabisa polisi Tanzania.
 
Nadhani tatizo kubwa la polisi wengi ni elimu duni hasa hawa wa vyeo vya chini. Wengi wao ni failures kwahiyo kazi ya upolisi ndio kimbilio lao.

Na kwakuwa wengi ni failures wanafanya kazi kwa kujipendekeza kwa wakubwa zao na kutafuta sifa za kijinga. Tumemsikia yule kamanda wa FFU akisema amefanya kazi miaka 40 na anachofahamu ni kusifiwa na bosi wake tu.

Jambo lingine ni polisi kutokujua sheria, na hii inachangiwa kwa sehemu kubwa na uelewa mdogo pamoja na elimu finyu waliyonayo.
 
Ni ushenzi wa serikali yetu' mwanamke anatakiwa akamatwe na mwanamke mwenzake, inamaana hakuna FFU wa kike?! Halafu kwanini wamtupie kama mzigo? Kwanin wampige mzee?! Pumbafu zao kabisa polisi Tanzania.

Wale askari waliombeba kama kiroba yule mama wa igunga nasubiri kauli ya bakwata.

Kwa huyu mzee wa dsm yule askari atapata laana kwa kumdhalilisha yule babu anayesotea maslahi yake miaka na mikaka.
 
Wako wapi ccm,wapo wapi watoa matamko ,yule mama wa igunga ndiye aliyedhalilishwa na si mkuu wa wilaya
 
Cha ajabu hawa polisi tunaishi nao mtaani..........na ndo wa kwanza kujenga mazingira ya chuki na wananchi..mwanamke au babu ana vurugu gani mpaka akabwe na FFU 8? siku zenu zinahesabika

jamani tutangaze vita na polisi,nasisi tuuwe ndugu zao ikiwauma watatulia.wanatutesa sana.
 
kwanini siku moja tusifanye maandamano ya amanii kulilaani jeshi la polisi kwa ukatili wanaoufanya? hebu wanaharakati tusaidieni kuanzisha hii move

Mkiandamana watakuja kuwapiga virungu hata risasi za moto watakupigeni.

Dawa yao ni katiba mpya,hii ya sasa inawalinda polisi hata wakiua hawachukuliwi hatua zozote za kisheria na kinidhamu. Katiba mpya lazima tuhakikishe inawalinda raia pamoja na polisi. Inapotokea polisi wametumia vibaya mamlaka yao hasa tabia ya kuua raia basi nao wawajibishwe kisheria na si kulindwa.
 
tunaongea sana kuliko vitendo ni kupiga nondo tu kama mbeya
 
Serikali haisikii,umeona wastaafu walivyokuwa wanafukuza kisa sharobaro jay50 anapita.inauma.
 
Ndivyo walivyofunzwa. Ndivyo walivyoagizwa.
Serikali imewachoka wananch, haina hata hamu ya kuwaona.
Yatakwisha tu!
 
Back
Top Bottom