Bwana Kangi Lugora amekuwa akijitahidi kushinikiza polisi watende haki. Hata hivyo jitihada na hata dhamira yake inaendelea kuwa ni tone dogo mno katika maji ya bahari.
Hoja kuwa ni polisi wachache tu ndiyo wanachafua wengi walio wema kabisa, ni dhaifu mno na ni wazi sote: yeye, wakuu wake, na hata wao polisi wanajua hivyo.
MARTHA KARUA says CAROLINE MWATHA was killed by police
Angalia kwenye link hii katika hali isiyo na tofauti na kwetu, kwa maneno yake jaji mkuu mstaafu Dr Willy Mutunga (Kenya) katika tukio la mauaji hivi karibuni huko pasipo na kumung'unya maneno alitamka:
“Cops never say the truth,”
“Even if police tell you the truth by accident, don’t believe it,”
“It’s clear the activist was murdered for her stand for the truth.”
Wasema kweli ni wapenzi wa Mungu whereas the contrapositive is also true. Ole wao, wao wenye nafasi za kukemea maovu kama haya na wao wanayafumbia macho, kwa kuwa eti tu leo wao wako upande salama wa shilingi.
Badala ya kujikita na ununuzi wa madege mngejikita kwenye kuhakikisha wananchi wanapata haki zao zote na manunda wote wanawajibishwa mngeacha legacy ya maana inayoishi.
Chuki kubwa inayoendelea kumea inapaliliwa vilivyo na vyombo vya kutenda haki ambavyo kwa maslahi fulani havifanyi hivyo.
------------------------------------
Added:
Kwa hisani ya user - kongobelo: