figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,485
Magari ya Polisi Kisumu, Kenya tayari kukabiliana na maandamano ya #CORD yaliyopangwa kufanyika kesho
Siasa za hawa jamaa huwa za ajabu sana aiseee.
Utasikia wakishindwana wanamsingizia Magufuli.
hawa tutawaazima mapanga wacharangane tu maana hamna jinsi..watu wanatabir the slaughter next year will be of bibilical proportions...yaani epic!! tunasubir tu teh teh teh
Patakua patamu aisei, ndio kesho yenyewe. Tatizo wanasiasa wetu likilipuka bomu la kwanza wanatoweka na kuwaacha watu wapokee kichapo.
Nakumbuka huko Bongo kiongozi wa upinzani bwana Mbowe alikua anaagiza Wabongo waandamane kupinga dhuluma halafu anaishia kuandamana mwenyewe na watu wachache, Waswahili walikua wanamgomea kwa uwoga na kuingia JF kupiga makelele.
Uwoga uliwazidi nyie pale polisi wenu walionyesha walivyojitayarisha. Hebu ona hii picha hapa chini, ila Wakenya ni vigumu kuwatisha na vitu kama hivi. Ni vigumu kufanya usanii kama ule wa Zenji hapa Kenya, kitanuka aisei.
Kesho ni mpaka ni attend maandamano I MUST HAVE A STAND KWA HII SERKAL IMEANZA KUNIZOEA..... UZURI NAKURU HAKUNANGA HII UFALA YA POLISI KULETA FUJO.... HAPA NAKURU HAS THE THIRD LARGEST SOMALI POPULATION AND NOT ONE HAS REPORTED OF HARRASMENT BY POLICE GOTTA LOVE MY COUNTY AND FURTHER MORE GOVERNOR KINUTHIA MBUGUA SAID HE WONT SEEK A SECOND TERM SO AM ALL HAPPY...... 38 People seeking mca seats in Nakuru county bext year are below 25 yrs.... Hehe
mzee wa data wee kila siku unasahau password eeh!!...alaf naona jaluo gavana mwenzako kaanika picha zake za uchi mtandaoni..mnafanana sanaBado hauja chinjwa kule tanga kama mbuzi???
mzee wa data wee kila siku unasahau password eeh!!...alaf naona jaluo gavana mwenzako kaanika picha zake za uchi mtandaoni..mnafanana sana
Acha unaa na wewe dola gani ya tanzania uloiweka madarakani???huna lolote ni uoga ndo umetujaa wabongo,think about zanzibar nani kaiweka dola ya shein madarakani???Unachanganya mambo, WatanZania siyo waoga bali tunaheshimu Dola au Mamlaka iliyopo, kuna tofauti hapo, nchi nyingine Wananchi hawaheshimu Dola /Mamlaka waliyoiweka wao wenyewe na ndiyo maana hata Serikali iseme nini watu bado wataandamana tu, lkn TanZania Serikali ikikataza maandamano tunaheshimu kwa maana tunatambua kwamba Mamlaka iko kwa ajili yetu wote na huwo siyo woga bali ni heshima tu kwa yule tuliyemkabidhi Mamlaka!
Acha unaa na wewe dola gani ya tanzania uloiweka madarakani???huna lolote ni uoga ndo umetujaa wabongo,think about zanzibar nani kaiweka dola ya shein madarakani???
Hakuna aliyewachokoza,au kuwa 'provoke' kama unavosema.Yote wanayofanya polisi ni 'response' yaani kujitayarisha kuzuia uporaji na uharibifu wa mali unaoshuhudiwa kila mara wanapoandamana 'wapinzani'.Jamaa wanaingia mji na mawe na silaha wanaingia maduka,hoteli na biashara za watu kuiba na kupiga waso pamoja nao kwenye maandamano?Mbona maandamano mengine hayafanywi kama yao?Waalimu,wauguzi wameandamana siku nyingi tu,hadi kuna siku wakenya wameandamana na wakapeleka nguruwe na hata damu ya nguruwe wakaimaga kwenye lango la bunge.Hakuna aliyechapwa kwenye maandamano hayo mengine.Kazi ya polisi na G.S.U kesho ni kulinda raia wasio na hatia,basi!Washenzi hao,wachapwe kabisa!we Africans are not comfortable with democracy. waachwe tu waandamane kwa amani... that's all what they want. kuna haja gani kuwa provoke na kutumia resources zote hizo.