Polisi na dola wanatetemeka, kuna jambo wanalificha juu ya Abdul Nondo. Haya ndio niliyoyagundua juu yao...

Bila shaka Watanzania wote wanafuatilia suala la mwanafunzi Ramadhani Kondo ambaye inasemekana alitekwa lakini jeshi la polisi wamekanusha kwamba hakutekwa bali alijiteka mwenyewe. Tumesikia kauli za dharau toka kwa Mwigula NCHEMBA pamoja na RPCs walivyojichanganya kwenye maelezo yao . Kuna kitu kinaitwa Aid and Abeting katika masuala ya sheria . Hii inamhusu hasa mpenzi wake RAMADHANI Kondo , Jee kwa nini polisi haKumhoji huyo mpenzi wake kwa kumficha Ramadhani KONDO .Au hawakuona umuhimu wake . Police acheni drama zenu , msitumike katika mchezo mchafu wa kisiasa
 
Mmeshazoeleka na lamri
tapatalk_1521100235798.jpeg
 
Kichwa chako kimejaa taka ndo mana unatoa ushuzi tu.Ufuasi wako ni wakizombie.Find a place to hide your foolishness
Kichani kwako mzima wewe? nahisi ni kati ya haya;
uu mvutaji wa petrol, bange au gundi.
ulizaliwa miezi kama 6 kabla ya miezi 9 kutimia ndio maana akili zako zinawaza vice versa.
 
Kichani kwako mzima wewe? nahisi ni kati ya haya;
uu mvutaji wa petrol, bange au gundi.
ulizaliwa miezi kama 6 kabla ya miezi 9 kutimia ndio maana akili zako zinawaza vice versa.
Naona umeamua kuelezea sababu za ukichaa wako.Nilijua pilipili kumbe unavuta hadi bangi
 
We mwenyewe unamambo ya ajabu,unaamini vipi mtu ambaye anadai kuwa alimwokota na akamkodia tax?Huko porini kuna tax? Kwanini hiyo ya Jonathan useme ni fake ila huyo jamaa useme genuine? Kuna taarifa zilikuwepo humu kuwa huyo Dorgan ni kundi moja la fb na nondo.Akili yako iko kwenye MISIMAMO YA SERIKALI ILIMTEKA.

Jiulize ana nn cha maana atekwe?Ni tishio kiasi gani kwa maslai ya utawala hadi atekwe?Wangeamua kumteka kulikua na umuhim wa kusafiri naye Iringa tena wakamtupe bila jeraha lolote lile? Huu utekaji ushawahi uona wapi. FUNGUKA AKILI.Mtu anatekwa anapewa hadi koti la baridi?UNAKUJUA KUTEKWA AU UNAOTA?
Mufindi na Mafinga teksi zipo, na mtu anaposema teksi inaweza kuwa Noah, mwanaCCM jiongeze kidogo
 
Uchambuzi mzuri, na hoja za msingi. Ni vema wampeleke mahakamani kwani huko atapata haki yake, polis hawana haki na ni waonevu wengi wao huku wakiwa na tabia ya kujikomba
Haya sina imani na hizi mahakama zetu, tulishaabiwa mizizi yake haijaenda chini sana. Mi nawashangaa sana polisi, Mwigulu na Bashite, kwa mini wanapanic kwa suala hill? Mbona hapo mambo mengi makubwa hawajayatolea ufafanuzi. Au ndo albadiri inajibu?
 
Acheni kupiga porojo. Tokeeni hiyo siku tuwaone.
Mkuu wewe utakuwa umejificha sehemu iliyo salama zaidi?
Usishabikie kila jambo kwani matukio aina hii huwafika waliomo na wasiokuwamo.
Mabomu na risasi za Zanzibar na Mwembechai havikuchagua kama ilivyotokea Mkwajuni kwa Akwilina.
Waweza jidhani uko salama lakini ukajikuta umeathirika kwa namna nyingine.
Vichwa sio pambo katika mwili.
 
Pia Tufikirie kwa umakini taarifa ya Polisi kuhusu Abdul Nondo.

Taarifa zinadai kuwa Abdul Nondo alijiteka na kwamba alifata mapenzi huko Iringa. Zaidi ya hapo, Polisi wamepanga kumfikisha Abdul Nondo mahakamani kwa kile kinachoitwa kudanganya umma na kuzua taharuki.

Ingawa taarifa hizo zinatolewa na chombo kilichopoteza imani kwa wananchi kutokana na vitendo vyake vinavyoashiria kutumika kama idara ya chama cha siasa, CCM, bado nitajitahidi kujadili suala hili bila kujali hayo ya kutumiwa na CCM.

Kwanza, Tukio la Abdul Nondo kupotea lilitaarifiwa na marafiki zake. Yeye hakuwahi kutoa taarifa hiyo na hadi kupatikana kwake hakupata nafasi ya kujieleza. Polisi wanasemaje alidanganya umma wakati hajawahi kuongea na chombo chochote cha habari?

Pili, Taarifa za kupatikana kwake zilitokea Mafinga. Huko inadaiwa kuwa 'aliokotwa' na wasamaria wema akiwa hajitambui, ambao walimpa nauli ya kwenda polisi. Taarifa hii ina mawaa, kwamba Msamaria mwema alimpa nauli 'mtu asiyejitambua' kwenda polisi. "Inakuaje mtu asiyejitambua anapewa nauli na kwenda polisi". Hapo ilibidi mtu aliyetoa taarifa hiyo na aliyemuokota na kumpa nauli naye ahojiwe.
Tatu, Hata hivyo taarifa za polisi zinadai kuwa Abdul Nondo alikuwa salama huko Mafinga na anaendelea na shughuli zake, swali! Kwanini Jeshi la Polisi lilimkamata mtu aliye salama akiendelea na shughuli zake na kumsafirisha hadi Dar es salaam. Ikumbukwe kuwa Abdul Nondo hakutoa taarifa za kutekwa, aliwaambia marafiki zake yupo kwenye risk (hatari) bila kueleza ni hatari gani.

Nne, Ikiwa tukio la kupotea kwa Abdul ni la Kihalifu, iwe alitekwa au alijiteka, basi moja ya maeneo ya uhalifu (crime scene) huo ni Mafinga alipo'okotwa' Je! Taarifa ya jeshi la police Mafinga inasemaje? Kuna uchunguzi wowote umefanyika kubaini namna alivyofika Mafinga? Alifikiaje? Kwa basi, kwa Noah, Land cruiser au kwa punda? Taarifa za namna alivyofika Mafinga, zingepatikana kwa ushahidi usio na shaka (physical evidence) zingetoa mwangaza kuelekea uchunguzi wa tukio hili. Ikiwa alisafiri kwa basi kama inavyodaiwa, je ni basi gani? Ratiba ya basi hilo inafanana na muda unaotajwa kutokea kwa tukio hilo la kutekwa/kujiteka?

Tano, Taarifa ya Kamanda Mambosasa inadai baada ya Abdul kupoteza mawasiliano na marafiki zake, bado aliendelea kuwasiliana na mpenzi wake akiwa njiani kuelekea Mafinga. Hapo maana yake ni kuwa Abdul Nondo alibadili laini ya simu lakini akiendelea kutumia simu ileile akiwasiliana na 'mpenzi wake'. Je! Kuna mahojiano yoyote baina ya polisi na huyo 'mpenzi' anayetajwa kama sehemu ya uchunguzi?

Mwisho.
Ni ukweli kwamba suala hili linapaswa kutolewa ufafanuzi na Polisi, sio mtu au chombo kingine. Kwa bahati mbaya, jeshi la polisi limepoteza na linaendelea kupoteza imani kwa wananchi. Hii ni kutokana na matendo ya kihuni yanayofanywa na jeshi hilo. Labda kwa sababu ya kukosa uwezo na umakini (incompetence) au kwa sababu ya kutojali (negligence). Tunasubiri bila matumaini taarifa za kupotea kwa Ben Saanane, kupigwa risasi Tundu Lissu na zingine. Bila matumaini.
Kuhusu suala la Abdul Nondo, Polisi inaacha maswali mengi. Taarifa hazijiungi. Ingependeza jeshi la polisi lieleze zaidi, litoe taarifa kamili.
Abdul alikuwa wapi usiku aliotekwa/aliojiteka? Maana muda huo hakuna usafiri wa umma, asafiri kwa usafiri gani? Na kama hakusafiri usiku huo alisafiri lini? Alifika saa ngapi? Taarifa hizo ni muhimu sana katika kuwasilisha ushahidi, ili kupunguza maswali mengi na isionekane ushahidi umetengenezwa.

Ni Vema Polisi ikafanya uchunguzi wa suala hili kama ina nia. Taarifa inayoitwa ya uchunguzi iliyotolewa na kamanda Mambosasa haina hadhi ya kuitwa Taarifa ya uchunguzi. It is far from being a forensic report. Labda ni "Preliminary report".
Kumpeleka mtu mahakamani na report hiyo ni kujitafutia fedheha mbele ya mawakili wasomi.
There we are. Nimependa hoja hizi ingawa zimewahi mno kabla ya kesi kwenda Mahakamani.
Mambosasa na upande wake wanaanza kushidwa kesi huku huku mahakama ya mtandaoni.
Wacha tuone.
 
Hayo maneno ya mambosasa ni opinion/tuhuma tu za polisi na ndio kazi yao kutuhumu lkn mahakamani maswali mengi yataulizwa na kujibiwa ili hakimu ajiridhishe kabla ya kutoa hukumu,unapoteza muda tu kuchambua tuhuma ambazo ni toothless kwa sababu sio legal judgement, save your breath subiri mahakama ianze kazi,nimesikia tayari ana mawakili wasomi watatu. Worry out.
Mkishindwa mahakamani mnakuja na mapovu kuwa mahakama haziko huru!! Nyinyi wadudu mnashida sana!
 
Back
Top Bottom