Polisi na CHADEMA: Kuku na Yai - kipi kilianza!??

Albert Msando

JF-Expert Member
Nov 2, 2010
1,019
171
Najua vurugu za Arusha au Mauaji ya Arusha yamejadiliwa sana. Pande mbili zimejitokeza.

1. Kama polisi wangeruhusu maandamano na kutoa ulinzi vurugu zisingetokea. Demokrasia ingekuwa imeheshimiwa. Hakukuwa na ushahidi wa kutosha kuzuia maandamano. Polisi walichelewa kutoa taarifa na njia iliyotumika kufikisha taarifa haikuwa sahihi. Polisi walitumia nguvu kubwa kuzuia maandamano. Polisi walitembea na waandamanaji mpaka eneo la kwa Dr. Mohamed umbali wa km zaidi ya 2 ndipo wakaanza kuwatawanya wananchi. Polisi walipiga mabomu uwanjani katikati bila sababu. Polisi walichochea vurugu.

2. CHADEMA walikaidi agizo la polisi. Hakukuwa na sababu za kuandamana. CDM wasingepoteza chochote kama wangeenda uwanjani moja kwa moja. CDM walichochea vurugu kwa kulazimisha maandamano.

Kumekuwa na jitihada za kuweka 'ukweli' hadharani. Polisi wako busy na DVD yao. CDM wamesema watajibu mapigo na kutoa ya kwao. Matamko yametolewa kila moja na ujumbe wake. Kwa wanaoshutumu CDM hawathubutu kuisifia polisi. Wanasema polisi wana haki ya kulinda kituo lakini hawasemi waziwazi kama wana haki ya kuua, kupiga watu na kutoa taarifa za uongo kuhusu uvunjifu wa amani.

Wanaosema CDM wameonewa hawasemi kama CDM wana haki ya kulazimisha maandamano yakizuiliwa na polisi. Hawasemi kama haki ikinyimwa unaidai kwa nguvu. Hawasemi kama mtu akiwekwa kizuizini kwa uonevu ni haki kwenda kumtoa kwa nguvu.

Swali linabaki, kuku na yai kipi kilianza? Polisi na CDM nani alianzisha vurugu?

Vurugu zilianza wakati wa maandamano au baada ya mkutano? Risasi zilipigwa wakati gani? Waliopigwa risasi uwanjani na Jogoo house walikuwa wanaenda kuteka kituo? Josephine aliyepasuka kichwa kwa kupigwa na kitako cha bunduki na kuwekwa lock up saa tano asbh alikuwa anaenda kuteka kituo? Dereva wa Grace Kiwelu MB aliyetenguliwa kiuno alikuwa anaenda kuteka kituo? Mtui Katibu wa Freeman Mbowe aliyepigwa mpaka akazimia akaachwa chini sakafuni polisi kwa zaidi ya masaa 8 alikuwa anaenda kuteka kituo kipi? Mtoto wa miaka 14 alikuwa anateka kituo? Kijana aliyepigwa St Thomas Hosp risasi mbili za miguuni na kuporwa sh mil 2.7 alikuwa anaenda kuteka kituo?

CDM hawakuangalia TV kusikia maelekezo ya IGP? Viongozi hawakuona umuhimu wa kushauriana na polisi asubuhi mapema na kuwaeleza nia yao ya kuandamana kwa amani? Walionana na RPC kumwambia kwamba wanaonewa kunyimwa kuandamana na hivyo wataendelea na mpango wao?

Tukirudi kwa Polisi je wametoa taarifa nyumba ya Salim Ally ilichomwa na nani na kwa kutumia nini? Na je sio bomu lililovunja kioo na kuingia ndani ndio chanzo cha moto?

Nini kifanyike hali ile isijirudie tena? Kauli ya JK kwamba haitarudia haitoshi. Imerudia Mbarali, itarudia UDOM, itarudia wakati wa malipo ya Dowans!! WanaJF nini kifanyike? Great thinkers wanashauri nini?
 
cha kufanyika hapa kila mtu aheshimu utawala wa sheria, na kila Mtanzania aelewe kuwa hakuna mtu yoyote au taasisi yoyote iliyo juu ya sheria.
 
Nakubaliana na wewe. Pia ni vizuri sheria zikatungwa kwa maslahi ya watanzania. Tusiwe na sheria zinazotoa haki upande mmoja na kunyang'anya upande wa pili. Mf. Sheria ya Vyama vya Siasa na Katiba ya Nchi versus Sheria ya Jeshi la Polisi na Police General Orders.

Tukifanikiwa utawala wa sheria utakuwa na maana zaidi!
 
kweli, haya ni baadhi tu ya matatizo ya katiba na sheria zinazotumika sasa, na hapa ndio mjadala wa katiba mpya unapafuatia..
 
Pemba, Arusha, Mbarali, etc
"Once is Happenstance. Twice is Coincidence. The third time it's Enemy action"
 
Alberto, najua ulisoma critical thinking na ulifaulu.

Sasa, can one person be both married and single? The point is, in your argument, whatever route you decide to take you will definately commit a false dilemma fallacy.

Tunaambiwa kwamba rais Ronald Regan wa Marekani aliwahi kuulizwa kwa nini marekani wanaichukia sana Ufaransa. Alipoona kwamba atasababisha mjadala tata kuliko utata uliokuwepo kati ya uhusiano wa marekani na ufaransa, akajibu, "It is because they are French"

Mkuu alberto, nina imani kabisa umenielewa.
 
Dah, Gurudumu nikiulizwa kwa nini nimekuelewa nitajibu 'because you are Gurudumu'.

I know, you can't have your cake and eat it'. The problem I am seeing is the obvious problem, when it comes to shouldering responsibility no one will do that.

Everyone will work tooth and nail to justify their actions or ommissions. Leaders forget committing and or ommitting to do something is wrong.

Its not hard to justify a wrong. You have heard of the necessary evil. Or in law we have a defence of necessity. If we are lost at sea and we are about to die for hunger and one of us, the weakest, is choosen to be killed and eaten so that we survive and we subsequently survive we can plead the defence of necessity. That it was necessary to kill him so that we survive and we have survived. The question will come, what determine that his life is not as precious as ours hence the decision to kill him? Bse he was weak? Or bse we wanted to live?
 
Najua vurugu za Arusha au Mauaji ya Arusha yamejadiliwa sana. Pande mbili zimejitokeza.

1. Kama polisi wangeruhusu maandamano na kutoa ulinzi vurugu zisingetokea. Demokrasia ingekuwa imeheshimiwa. Hakukuwa na ushahidi wa kutosha kuzuia maandamano. Polisi walichelewa kutoa taarifa na njia iliyotumika kufikisha taarifa haikuwa sahihi. Polisi walitumia nguvu kubwa kuzuia maandamano. Polisi walitembea na waandamanaji mpaka eneo la kwa Dr. Mohamed umbali wa km zaidi ya 2 ndipo wakaanza kuwatawanya wananchi. Polisi walipiga mabomu uwanjani katikati bila sababu. Polisi walichochea vurugu.

2. CHADEMA walikaidi agizo la polisi. Hakukuwa na sababu za kuandamana. CDM wasingepoteza chochote kama wangeenda uwanjani moja kwa moja. CDM walichochea vurugu kwa kulazimisha maandamano.

Kumekuwa na jitihada za kuweka 'ukweli' hadharani. Polisi wako busy na DVD yao. CDM wamesema watajibu mapigo na kutoa ya kwao. Matamko yametolewa kila moja na ujumbe wake. Kwa wanaoshutumu CDM hawathubutu kuisifia polisi. Wanasema polisi wana haki ya kulinda kituo lakini hawasemi waziwazi kama wana haki ya kuua, kupiga watu na kutoa taarifa za uongo kuhusu uvunjifu wa amani.

Wanaosema CDM wameonewa hawasemi kama CDM wana haki ya kulazimisha maandamano yakizuiliwa na polisi. Hawasemi kama haki ikinyimwa unaidai kwa nguvu. Hawasemi kama mtu akiwekwa kizuizini kwa uonevu ni haki kwenda kumtoa kwa nguvu.

Swali linabaki, kuku na yai kipi kilianza? Polisi na CDM nani alianzisha vurugu?

Vurugu zilianza wakati wa maandamano au baada ya mkutano? Risasi zilipigwa wakati gani? Waliopigwa risasi uwanjani na Jogoo house walikuwa wanaenda kuteka kituo? Josephine aliyepasuka kichwa kwa kupigwa na kitako cha bunduki na kuwekwa lock up saa tano asbh alikuwa anaenda kuteka kituo? Dereva wa Grace Kiwelu MB aliyetenguliwa kiuno alikuwa anaenda kuteka kituo? Mtui Katibu wa Freeman Mbowe aliyepigwa mpaka akazimia akaachwa chini sakafuni polisi kwa zaidi ya masaa 8 alikuwa anaenda kuteka kituo kipi? Mtoto wa miaka 14 alikuwa anateka kituo? Kijana aliyepigwa St Thomas Hosp risasi mbili za miguuni na kuporwa sh mil 2.7 alikuwa anaenda kuteka kituo?

CDM hawakuangalia TV kusikia maelekezo ya IGP? Viongozi hawakuona umuhimu wa kushauriana na polisi asubuhi mapema na kuwaeleza nia yao ya kuandamana kwa amani? Walionana na RPC kumwambia kwamba wanaonewa kunyimwa kuandamana na hivyo wataendelea na mpango wao?

Tukirudi kwa Polisi je wametoa taarifa nyumba ya Salim Ally ilichomwa na nani na kwa kutumia nini? Na je sio bomu lililovunja kioo na kuingia ndani ndio chanzo cha moto?

Nini kifanyike hali ile isijirudie tena? Kauli ya JK kwamba haitarudia haitoshi. Imerudia Mbarali, itarudia UDOM, itarudia wakati wa malipo ya Dowans!! WanaJF nini kifanyike? Great thinkers wanashauri nini?

Gud analysis! Suala ni kuwa hoja zote mbili zinatafuta mchawi ni nani? na hata kama hilo ni vyema likafanyika, bado CHADEMA wameomba iundwe tume ili uchunguzi ufanyike. Mbona hilo halifanyiki. Mbona serikali imekaa kimya kama haina mslahi ktk mauaji na vurugu zote za Arusha? Ukitafakari sana, hili si suala la "yai na kuku" bali la Nyuki na Asali. Tafakari.
 
Alberto, najua ulisoma critical thinking na ulifaulu.

Sasa, can one person be both married and single? The point is, in your argument, whatever route you decide to take you will definately commit a false dilemma fallacy.

Tunaambiwa kwamba rais Ronald Regan wa Marekani aliwahi kuulizwa kwa nini marekani wanaichukia sana Ufaransa. Alipoona kwamba atasababisha mjadala tata kuliko utata uliokuwepo kati ya uhusiano wa marekani na ufaransa, akajibu, "It is because they are French"

Mkuu alberto, nina imani kabisa umenielewa.

Gurudumu,
Fine, assume haumjui Msando, anauliza "...ni nini kifanyike?"
 
Dah, Gurudumu nikiulizwa kwa nini nimekuelewa nitajibu 'because you are Gurudumu'.

I know, you can't have your cake and eat it'. The problem I am seeing is the obvious problem, when it comes to shouldering responsibility no one will do that.

Everyone will work tooth and nail to justify their actions or ommissions. Leaders forget committing and or ommitting to do something is wrong.

Its not hard to justify a wrong. You have heard of the necessary evil. Or in law we have a defence of necessity. If we are lost at sea and we are about to die for hunger and one of us, the weakest, is choosen to be killed and eaten so that we survive and we subsequently survive we can plead the defence of necessity. That it was necessary to kill him so that we survive and we have survived. The question will come, what determine that his life is not as precious as ours hence the decision to kill him? Bse he was weak? Or bse we wanted to live?

precisely sir, nilijua utanielewa!! Mwalimu wako alikuwa anaitwa nani vile?
 
Najua vurugu za Arusha au Mauaji ya Arusha yamejadiliwa sana. Pande mbili zimejitokeza.

1. Kama polisi wangeruhusu maandamano na kutoa ulinzi vurugu zisingetokea. Demokrasia ingekuwa imeheshimiwa. Hakukuwa na ushahidi wa kutosha kuzuia maandamano. Polisi walichelewa kutoa taarifa na njia iliyotumika kufikisha taarifa haikuwa sahihi. Polisi walitumia nguvu kubwa kuzuia maandamano. Polisi walitembea na waandamanaji mpaka eneo la kwa Dr. Mohamed umbali wa km zaidi ya 2 ndipo wakaanza kuwatawanya wananchi. Polisi walipiga mabomu uwanjani katikati bila sababu. Polisi walichochea vurugu.

2. CHADEMA walikaidi agizo la polisi. Hakukuwa na sababu za kuandamana. CDM wasingepoteza chochote kama wangeenda uwanjani moja kwa moja. CDM walichochea vurugu kwa kulazimisha maandamano.

Kumekuwa na jitihada za kuweka 'ukweli' hadharani. Polisi wako busy na DVD yao. CDM wamesema watajibu mapigo na kutoa ya kwao. Matamko yametolewa kila moja na ujumbe wake. Kwa wanaoshutumu CDM hawathubutu kuisifia polisi. Wanasema polisi wana haki ya kulinda kituo lakini hawasemi waziwazi kama wana haki ya kuua, kupiga watu na kutoa taarifa za uongo kuhusu uvunjifu wa amani.

Wanaosema CDM wameonewa hawasemi kama CDM wana haki ya kulazimisha maandamano yakizuiliwa na polisi. Hawasemi kama haki ikinyimwa unaidai kwa nguvu. Hawasemi kama mtu akiwekwa kizuizini kwa uonevu ni haki kwenda kumtoa kwa nguvu.

Swali linabaki, kuku na yai kipi kilianza? Polisi na CDM nani alianzisha vurugu?

Vurugu zilianza wakati wa maandamano au baada ya mkutano? Risasi zilipigwa wakati gani? Waliopigwa risasi uwanjani na Jogoo house walikuwa wanaenda kuteka kituo? Josephine aliyepasuka kichwa kwa kupigwa na kitako cha bunduki na kuwekwa lock up saa tano asbh alikuwa anaenda kuteka kituo? Dereva wa Grace Kiwelu MB aliyetenguliwa kiuno alikuwa anaenda kuteka kituo? Mtui Katibu wa Freeman Mbowe aliyepigwa mpaka akazimia akaachwa chini sakafuni polisi kwa zaidi ya masaa 8 alikuwa anaenda kuteka kituo kipi? Mtoto wa miaka 14 alikuwa anateka kituo? Kijana aliyepigwa St Thomas Hosp risasi mbili za miguuni na kuporwa sh mil 2.7 alikuwa anaenda kuteka kituo?

CDM hawakuangalia TV kusikia maelekezo ya IGP? Viongozi hawakuona umuhimu wa kushauriana na polisi asubuhi mapema na kuwaeleza nia yao ya kuandamana kwa amani? Walionana na RPC kumwambia kwamba wanaonewa kunyimwa kuandamana na hivyo wataendelea na mpango wao?

Tukirudi kwa Polisi je wametoa taarifa nyumba ya Salim Ally ilichomwa na nani na kwa kutumia nini? Na je sio bomu lililovunja kioo na kuingia ndani ndio chanzo cha moto?

Nini kifanyike hali ile isijirudie tena? Kauli ya JK kwamba haitarudia haitoshi. Imerudia Mbarali, itarudia UDOM, itarudia wakati wa malipo ya Dowans!! WanaJF nini kifanyike? Great thinkers wanashauri nini?

KUKU MMMH AU YAI,MMH ILA NAONA KUKU NDIE ANATAGA,ILA NA YAI NDIO LINATOA KUKU MHHH BASI KUKU YAI YAI KUKU mH;;
 
Gurudumu,
Fine, assume haumjui Msando, anauliza "...ni nini kifanyike?"

Mkuu, nini kifanyike huwa ni sayansi ya Kipimajoto cha ITV ambayo haihitaji kuchambua fikra bali kutoa majibu ya tatizo ambalo mtu hajalifahamu fika. Kuna watu watajibu hilo hapa lakini mimi nilichomjibu Alberto amenielewa, na wewe rejea jibu la Alberto hapo juu pia utaelewa, nadhani.
 
KUKU MMMH AU YAI,MMH ILA NAONA KUKU NDIE ANATAGA,ILA NA YAI NDIO LINATOA KUKU MHHH BASI KUKU YAI YAI KUKU mH;;

Hii ya kwako kiboko! Heri ungesema Jogoo (joke)!

Kuna hoja imetolewa kwamba hii inaweza kuwa 'asali na nyuki'! Naendelea kuitafari.

Kwa ninavyokujua Mtoto wa Udongo huchelewi kuhoji 'nzi na ma**'! Please dont! Ipotezee!
 
Mkuu, nini kifanyike huwa ni sayansi ya Kipimajoto cha ITV ambayo haihitaji kuchambua fikra bali kutoa majibu ya tatizo ambalo mtu hajalifahamu fika. Kuna watu watajibu hilo hapa lakini mimi nilichomjibu Alberto amenielewa, na wewe rejea jibu la Alberto hapo juu pia utaelewa, nadhani.

Gurudumu,
Sijaelewa tafadhali.
 
Back
Top Bottom