Polisi na CCM mmekubali kuingia kwenye mtego wa CHADEMA

M

Molembe

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,135
Likes
5,179
Points
280
M

Molembe

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,135 5,179 280
Chama cha mapinduzi na jeshi la polisi pasipo kujua wamekubali kuingia kwenye mtego wa chadema, baada ya baraza la vijana chadema (Bavicha) kutoa tamko lao kuwa wanaenda kusaidia polisi kuzuia mkutano mkuu wa ccm, vijana wa ccm na jeshi la polisi wameingia kichwa kichwa kujibu hoja hiyo ya kimtego.

Mathalani wengi wamesema kwamba mkutano huo upo kisheria wakisahau kuwa hata shughuli za vyama vya siasa zipo kikatiba na katiba ni sheria mama ya nchi, hivyo vijana hawa wameikosoa serikali yao ya CCM kuwa wamekiuka katiba ya nchi.

Jeshi la polisi nao wamejibu mapigo kuwa mkutano utafanyika kwa amani kabisa na ninavyojua siku hiyo kutakuwa na ulinzi wa kutosha, hii itadhihirisha ni namna gani jeshi la polisi linavyoipendelea ccm, lakini vilevile zuio la jeshi la polisi la kuzuia mikutano ya kisiasa litakuwa limebatilishwa.
 
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined
Mar 17, 2008
Messages
29,405
Likes
14,645
Points
280
Elli

Elli

JF-Expert Member
Joined Mar 17, 2008
29,405 14,645 280
Molembe umewahi kuchukua comment yangu ambayo ndio nimetoka kuipost sasa hivi kwenye uzi wa HAKUNA WA KUZUIA MKUTANO WA CCM, nimeelezea the same concept kuwa kwa hili jamaa wamekamatiwa chini, ushahidi umepatikana, safi kabisa vijana wame-play very smart.
 
M

mtengwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2011
Messages
1,746
Likes
240
Points
160
M

mtengwa

JF-Expert Member
Joined Aug 20, 2011
1,746 240 160
CCM ni chama tawala. Sisi ndio tunatawala na ninyi ni watawaliwa. UKAWA ni wapangaji tu ndani ya Nyumba iliyojengwa na CCM. CCM ndio baba ama mama mwenye nyumba. Mtaufyata tu
Mkuu uko na huku. Hahaha, I see you bro
 
myoyambendi

myoyambendi

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2013
Messages
64,957
Likes
316,100
Points
280
myoyambendi

myoyambendi

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2013
64,957 316,100 280
CCM ni chama tawala. Sisi ndio tunatawala na ninyi ni watawaliwa. UKAWA ni wapangaji tu ndani ya Nyumba iliyojengwa na CCM. CCM ndio baba ama mama mwenye nyumba. Mtaufyata tu
duh! umefika mbali kwa maandishi haya, umenikumbusha mwalimu nyerere, enzi ya utawala na utawaliwa, ubwana na utwana,sisi na wao.....
nchi moja......
lugha nyingine HAZIFAI HUMU
 
chamilo nicolous

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2016
Messages
1,438
Likes
937
Points
280
chamilo nicolous

chamilo nicolous

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2016
1,438 937 280
CDM hacheni kutumia akili zenu vibaya, BAVICHA fanyeni siasa, na sio choko choko za kisiasa, choko choko hamuwezi mtaumia
 
kidamva

kidamva

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2013
Messages
2,572
Likes
1,667
Points
280
kidamva

kidamva

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2013
2,572 1,667 280
CCM ni chama tawala. Sisi ndio tunatawala na ninyi ni watawaliwa. UKAWA ni wapangaji tu ndani ya Nyumba iliyojengwa na CCM. CCM ndio baba ama mama mwenye nyumba. Mtaufyata tu
Acha umbumbumbu hapa. Nchi yetu inaongozwa kwa sheria na Katiba. Mikutano ya vyama vya siasa viko kisheria na Katiba.
 
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2009
Messages
15,125
Likes
7,624
Points
280
DOUGLAS SALLU

DOUGLAS SALLU

JF-Expert Member
Joined Nov 13, 2009
15,125 7,624 280
CCM ni chama tawala. Sisi ndio tunatawala na ninyi ni watawaliwa. UKAWA ni wapangaji tu ndani ya Nyumba iliyojengwa na CCM. CCM ndio baba ama mama mwenye nyumba. Mtaufyata tu

Unamtawala nani wewe na njaa yako ya buku 7? Ndiyo maana huhupewa udc.
 
Edward Sambai

Edward Sambai

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Messages
2,352
Likes
1,511
Points
280
Age
34
Edward Sambai

Edward Sambai

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2013
2,352 1,511 280
CCM ni chama tawala. Sisi ndio tunatawala na ninyi ni watawaliwa. UKAWA ni wapangaji tu ndani ya Nyumba iliyojengwa na CCM. CCM ndio baba ama mama mwenye nyumba. Mtaufyata tu
"Sisi ndio tunatawala"
Masikini were!!!!!!
MTU ata kuwa Mjumbe wa nyumba kumi hujawai, alafu unasema "Sisi ndio tunatawala" shame on you

Naomba nikupe elimu kido. Kwa mujibu wa sheria ni viongozi wawili tu ndio huchaguliwa kwa kura na kuruhusiwa kutawala (Kuunda serikali) nao ni Raisi wa nchi na mwenyekiti wa serikali ya mtaa.
Diwani na mbunge hao ni wawakilishi na sio viongozi/watawala.

Sasa swali
Umejiuliza mwenyekiti wako anatoka upande UPI?

Wewe (mshabiki wa ccm) ni sehemu gani nchi hii tunatawala/kuongoza?

Ushauri.
Ushabiki usikutie upofu, na dhaidi ya yote wewe ndio unatawaliwa kama tukifanya comparison na ninakuakikishia majority ya wakazi wa Daresalamu wanatawaliwa na Ukawa japo pia ccm kupitia Magu naye pia anatawala.

Ni vizuri kupunguza ushabiki na kutazama kweli
 
ngozimbili

ngozimbili

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2011
Messages
961
Likes
383
Points
80
Age
41
ngozimbili

ngozimbili

JF-Expert Member
Joined Jul 28, 2011
961 383 80
CCM ni chama tawala. Sisi ndio tunatawala na ninyi ni watawaliwa. UKAWA ni wapangaji tu ndani ya Nyumba iliyojengwa na CCM. CCM ndio baba ama mama mwenye nyumba. Mtaufyata tu
Masikini Tanzania
 
Forum statistics

Threads 1,235,802
Members 474,742
Posts 29,236,346