Katika hali ya kushangaza leo siku ya Jumapili, askari polisi jijini Mwanza wametanda kila mahali na hasa njia kuu ya kuelekea bugando, nimeshuhudia doria isiyokuwa ya kawaida ya magari na askari waliovaa sare na kiraia, wengine wamepaki njia kuu kuelekea Bugando jambo ambalo si kawaida kwa siku za Jumapili, wananchi wanajiuliza kwa nini kuna ulinzi mkali kiasi hicho?