Polisi Mwanza mnaoshughulikia hii kesi, kuweni makini hii ni awamu ya tano, mtakuja kuumbuka

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
Imetimia miezi saba sasa mnalinda huyu mwanajeshi na migambo ambao walimpiga mtuhumiwa ndani ya ofisi ya kata ya Kahama wilaya ya Ilemela na baadae alifariki. Watuhumiwa walikuwa wanne waliopigwa ila mmoja alifariki.

Mkuu wa mkoa alimsaidia mke wa marehemu na ukweli umeshapatikana. Mmeshachukua maelezo ya mashahidi zaidi ya wanne. Kwanini hamuwakamati watuhumiwa?

Mbona watu wengine wakifanya makosa wanakamatwa hii ni nchi inayofuata misingi ya sheria. Kama yeye na migambo walichukulia sheria mkononi kwa nini hamuwakamati?

Polisi Kirumba mlidanganya kuwa marehemu alipigwa na wananchi wakati sio kweli. Mkuu wa mkoa amemsaidia mke wa marehemu na mmeshapata maelezo ya ukweli kwa waliona tukio. Kwanini hamchukui hatua? JPM yupo Chato ngoja mke wa marehemu amfuate huko ndio mchukue hatua.

Mbaya zaidi hata milango ambayo mtendaji wa kata alidai marehemu aliiba kumbe ililosa watu walioiba na ameichukua yeye. Na hata Tv aliyodai kuwa huyo mwanajeshi kaibiwa wala haikupatikana ila mlipiga aseme asichokijua.

Hakuna cha habari za Andha Kanoon wala nini Ukweli umeshajulikana na mke wa marehemu lazima apate haki yake.
 
Acheni wizi, zama hizi ni mwendo wa kunyanga'anywa Visu na Bunduki tu, wewe ni mwizi au Mhalifu ni Kumalizwa tu Tumechoka kulisha wahalifu kwa kodi zetu. Hizi nguvu unazotumia kutoa povu ungetumia kumshauri huyo kibaka aache wizi. Maeneo ya Kirumba bila vichapo kama cha huyo Mwanajeshi wizi hauwezi isha. Polisi washakwambia kapigwa na Wananchi wenye hasira wewe unalazimisha kapigwa na Mwanajeshi kwani huyo mjeda mnashea demu au??
 
Una uhakika aliiba? Kama aliiba mbona hakupelekwa mahakamani? Kwa nini wadanganye amepigwa na wananchi? Kwa nini mkuu wa mkoa aingilie kati? Ngoja ishu iende mahakamani ndio utajua justice is blind.
 
Attachments

  • IMG_20200329_191932.jpg
    IMG_20200329_191932.jpg
    100.8 KB · Views: 1
Una uhakika aliiba? Kama aliiba mbona hakupelekwa mahakamani? Kwa nini wadanganye amepigwa na wananchi? Kwa nini mkuu wa mkoa aingilie kati? Ngoja ishu iende mahakamani ndio utajua justice is blind.
Vibaka kwa Kulindana hamjambo...
Hapo Kirumba kuna Vijana wangapi mpaka apigwe huyo kibaraka wako. Acheni kufadhili vijana watende maovu halafu nyinyi mnaishia kuuza maduka ya Vitu used vya wizi nashauri OCD Kirumba aanze na wewe ili utaje mtandao wa wizi maeneo yote ya Kirumba. Kama ushahidi upo kwanin msifungue kesi unakuja kulialia hapa jf. Acheni wizi maisha yamekuwa magumu mnarudisha watu nyumanyie mama-e
 
Huna akili mpumbavu wewe. Tukio limetokea kirumba? Kahama ilemela ni kirumba? Mtu ameuliwa hana kosa alafu unatetea ujinga . Na tukio lenyewe unajua liljkuwaje? Kesi ifunguliwe mara ngapi? Na maelezo yameshatolewa jalada linacheleweshwa kwenda kwa Dpp. Alafu kuwa na heshima sio kila mtu unamtukana eti kibaka. Labda Baba yako ndio kibaka. Jf ni mtandao wa kijamii ambao unatumika kufichua unyanyasaji kama huo. Sio mtandao wa baba yako. Labda unawashwa makalio ndio maana unadandia mada kama malaya.
 
Umepanic
Eleza Vizuri sasa maaana akili zishakukaa sawa kipigo cha maneno kimekuingia, ole wako sikuoni, ungekuwa kituoni ungetaja wezi wenzio tuuuu. Nyonyoooooooo mwezi mwezio kapigwa na mjeddaaaaa??? Unabana bana pua ili iweje? Utaolewa Mjini mwaka huu
 
Kama sio mvuta bangi utakuwa chakula.
 
Umepanic
Eleza Vizuri sasa maaana akili zishakukaa sawa kipigo cha maneno kimekuingia, ole wako sikuoni, ungekuwa kituoni ungetaja wezi wenzio tuuuu. Nyonyoooooooo mwezi mwezio kapigwa na mjeddaaaaa??? Unabana bana pua ili iweje? Utaolewa Mjini mwaka huu
Nipo villa park hapa kama wewe mwanaume weka namba ya simu hapa nije hapo kituoni.
 
MOD MOD MOD MOD nimewaita mala 3 jukwaa letu sio kijiwe cha Matusi muoneni mtukanaji huyu
 
Back
Top Bottom