Polisi msilete ubaguzi na uchonganishi, "Gaidi mfia dini" ndio nani?

Polisi wanalindana siku zote. Mfia Dini ni neno tata kwa njisi ilivyotumiwa kumuelezea merehemu Hamza. Inabidi tuwe makini na dini za watu kwa kuchagua maneno ya kusema.
 
Na zile silaha itakuwa alizidownload kwenye mtandao so ndio ndugu zangu? Nadhani Kuna mtu hajafanya kazi yake vizuri kuhusu uchunguzi huu. Wacha tuendelee kunywa supu labda nyama tutazikuta chini.

Uzuri wake mama haangaiki kabisa na Mambo magumu keshajizoelea kula urojo. Anaekti zake matangazo na haangalii ishu zingine pamoja hatusemi anachofanya huko sio Cha muhimu.
 
Hakika katika kitu kitakachowakwaza waislam ni hili la polisi kumuita Marehemu kua Gaidi mfia dini, hili litaibua mjadala mkubwa sana wa kitaifa, minong'ono imeshaanza chini chini mitaani kila ukipita.Polisi ninyi hii ni chuki dhidi ya imani za watu au nini? Nini hii mnaifanya sasa?

Nashindwa kuelewa, ni kwa vile viongozi wa juu wa polisi ni wakristo au kitu gani? Mnashindwa kuelewa kua dini ya kiislam ina mamilioni ya wafuasi humu nchini? Kwanini mnalikuza jambo hili kiasi hiki?
 
Hakika katika kitu kitakachowakwaza waislam ni hili la polisi kumuita Marehemu kua Gaidi mfia dini, hili litaibua mjadala mkubwa sana wa kitaifa, minong'ono imeshaanza chini chini mitaani kila ukipita.Polisi ninyi hii ni chuki dhidi ya imani za watu au nini? Nini hii mnaifanya sasa?

Nashindwa kuelewa, ni kwa vile viongozi wa juu wa polisi ni wakristo au kitu gani? Mnashindwa kuelewa kua dini ya kiislam ina mamilioni ya wafuasi humu nchini? Kwanini mnalikuza jambo hili kiasi hiki?
This was expected
 
Tunashindwa kuelewa jambo moja Hamza ni Muislamu ingawa Waislamu wote sio Hamza..... Cha muhimu ni Waislamu wema kujiondoa kwenye Matendo kama haya yanayolipa jina baya Dini yao...

Polisi hawawezi wakafanya lolote bali ni wenye imani zao kujitenga na waharifu wote ambao wanachafua Imani zao...., Kumbuka hii dunia wapo wengi wenye imani tofauti na wasioamini Imani hizo, nadhani hata kwenye Imani yako umefundishwa kuamini kwako kusiwe kero kwa wengine...
 
Acha bhana.... " Ugaidi "hauna jinsia/dini/dhehebu/kabila/taifa/rangi/umri wala cheo au madaraka...
Uislamu una taratibu zake na Maamrisho yake kama dini zingine..mema hufuatwa na maovu hukatazwa !!

Matendo ya mtu binafsi haya akisi dini ya Umma kwa jumla.
Tafadhalini tusishadidie au kusifia au kuhamasisha vurugu na ukatili.
Amani idumu.
 
Sema hii Nchi Haina utawala IGP alitakiwa kuwa chini ya ulinzi Kama sabaya sasahivi na UIGP wake ungekuwa umeshafika mwisho.


Ila kwa vile tuna Galasa ikulu hakuna jipya
Kivipi na wewe, tafuta kazi ya kufanya kijana
 
Gaidi sio dini hata mtu ambae hajaridhika na matendo ya serikali na kuuwa watu pia ni Gaidi
Rejea Oklahoma huko USA
 
Hayo ndiyo matunda ya Polisi kuachiwa wajichunguze wao wenyewe kwenye tuhuma ambazo kuna tetesi ya wao kuhusika.

Kila siku huwa nasema hapa kuwa Tanzania haina Rais bali ina 'rahisi' lakini watu wanaziba pamba kwenye masikio yao.

Tanzania ingekuwa ina Rais angeunda tume huru kuchunguza tuhuma hizi lakini kwa sababu haina Rais basi zigo limetupiwa kwenye dini bila ya kujali athari zake.
 
Hiyo ndio aina ya viongozi tuliojaaliwa na mwendazake, roho ya marehemu iwekwe panapostahili, roho ya marehemu Hamza ipate Rehema kwa Mungu ipumzike kwa Amani Amina.
 
Back
Top Bottom