Polisi, msaidieni mama huyu anafanyiwa ukatili na mumewe

MTAKA HABARI

Senior Member
Jan 17, 2019
123
149
Jeshi la polisi mkoa wa Iringa tunaomba mumuokoe huyu mama hapa Mkimbizi, mama huyu anateswa sana na mume wake kwa vipigo; mbaya zaidi huyu mama anaogopa kushitaki kulingana na vitisho anavyopewa. Majirani tumemsihi sana huyu baba lakini hashauriki wala hamuelewi mtu.

Watetezi wa wanawake mwanamke mwenzenu anavunda kwa vipigo msaidieni.

Huyu baba ni mkatili sana kwa kweli kwa familia yake.

Namba ya huyo mama ni 0676361*** mtafuteni muone

Mbaya zaidi huyu baba anasema haogopi chochote.

OCD tafadhali mtafuteni mtu huyu muone wenyewe.

Namba za huyo mume wake ni 0753248****
 
Jeshi la polisi mkoa wa Iringa tunaomba mumuokoe huyu mama hapa Mkimbizi, mama huyu anateswa sana na mume wake kwa vipigo; mbaya zaidi huyu mama anaogopa kushitaki kulingana na vitisho anavyopewa. Majirani tumemsihi sana huyu baba lakini hashauriki wala hamuelewi mtu.
 
Ni bora huyo mama akaondoka hapo kwa uyobaba kwa sababuhata wahusika wakija kumshikilia huyo baba, huyo mama ndio atateseka na familia. Ni vizuri ikiwa hali haiwezi vumilika waachanishwe kama maana maisha ni leo, kuendelea kuvumilia ukisema atabadilika ni uongo.Maisha ni amani.
 
Back
Top Bottom