MTAKA HABARI
Senior Member
- Jan 17, 2019
- 123
- 149
Jeshi la polisi mkoa wa Iringa tunaomba mumuokoe huyu mama hapa Mkimbizi, mama huyu anateswa sana na mume wake kwa vipigo; mbaya zaidi huyu mama anaogopa kushitaki kulingana na vitisho anavyopewa. Majirani tumemsihi sana huyu baba lakini hashauriki wala hamuelewi mtu.
Watetezi wa wanawake mwanamke mwenzenu anavunda kwa vipigo msaidieni.
Huyu baba ni mkatili sana kwa kweli kwa familia yake.
Namba ya huyo mama ni 0676361*** mtafuteni muone
Mbaya zaidi huyu baba anasema haogopi chochote.
OCD tafadhali mtafuteni mtu huyu muone wenyewe.
Namba za huyo mume wake ni 0753248****